Za jioni wadau,
Poleni na mihangaiko ya leo. Ni sehemu ya maisha...
Nimekuwa nikiwaza - wenzetu Rwanda na Kenya washazindua second level domain kwa ajili ya kuandikisha tofuti zao. Kwa mfano, naweza kuregister jina samedi.ke au samedi.rw
Je hapa TZ bado tuna mwendo gani hadi kufikia lengo hili? Kama una info yoyote, karibu tushare.
Uwe na jioni njema...