Statoil plans East Africa LNG plant after Tanzania gas find

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
By Gwladys Fouche and Balazs Koranyi
OSLO, March 18 (Reuters) - Statoil and Britain's BG Group plan to build a $10 billion East African liquefied natural gas (LNG) terminal well placed for exports to Asia, after the Norwegian company made a new find off the coast of Tanzania.

"We have enough gas to move forward," Statoil's head of exploration, Tim Dodson, said on Monday after it announced the discovery of between 4 trillion and 6 trillion cubic feet (tcf) of gas in the Indian Ocean.

"We are working with BG to come up with a recommendation for a landing site. We should be making that recommendation to Tanzanian authorities fairly early in the second quarter," Dodson told Reuters.

The latest find, Statoil's third in the area within a year, brings its total recoverable resources there to 10-13 tcf.

BG has interests in three blocks off Tanzania together with Ophir Energy.

On Monday, BG announced that results from its Jodari well drilled off Tanzania, near Statoil's own finds, were "excellent".

The U.S. Geological Survey has estimated that more gas lies off the shores of Kenya, Tanzania and Mozambique than off Nigeria, Africa's biggest energy producer.

East Africa is attractive to oil firms because of its relative proximity to Asia's big LNG consumers.

To allow exports of the fuel to major markets, there will be a need for installations to turn gas into freezing liquid for transport by ship. Statoil and BG are on course to build one of the first.

Anadarko and Eni are planning to build an LNG export terminal in Mozambique.

The plant to be built by Statoil and BG would have at least two processing units, or trains, to process gas from Statoil's Block 2 and BG's Block 1.

"In addition to the 10-13 tcf that we have, they (BG) have a similar kind of number (in Block 1)," said Dodson.

"So if we have 20 tcf, there will be a discussion on whether you develop all of that straight away or whether you build two trains and then add a potential third train, or even a fourth."

Statoil would extract the gas from the seabed via a big offshore development before piping it to the export terminal on land, Dodson said.

He said $10 billion was a fair ballpark estimate for the cost of developing the plant. An investment decision would be at least three years away, not before early 2016, he added.

Statoil operates the hydrocarbon licence for Block 2, with a 65 percent working interest, and ExxonMobil holds the remaining 35 percent.

DIVISIVE ISSUE

There is political risk to the project, with oil and gas becoming a divisive issue in Tanzania.

While oil and gas could be a much-needed source of revenue for the developing country, there are fears energy could prove to be a "resource curse", bringing the kind of unrest experienced by Democratic Republic of Congo and Nigeria.

In the southern region of Mtwara, residents are threatening to block a gas pipeline project until they see more of the benefits.

The government has accused opposition leaders of inciting opposition to the pipeline, which it hopes will boost generation of cheap electricity and end chronic energy shortages.

Opposition politicians and activists have been calling for a halt to the issuance of oil and gas exploration licences until Tanzania revamps laws regulating its fast-growing energy sector.

The government has unveiled a draft national gas policy and plans to have new legislation in place this year.
Statoil has drilled five wells off Tanzania so far and expects further wells this year, most likely towards the end of the year after geologists analyse data provided from fresh three-dimensional seismic surveys this summer.

"We can expect more discoveries," Dodson said.

Statoil will also drill two wells off Mozambique, primarily seeking oil, with drilling of the first well due to start in the first week of April. There, again, Dodson saw potential for significant finds.

In Angola, on Africa's west coast, Statoil hopes to drill another well towards the end of the year. Dodson said he believed there could be very big finds as the geology is similar to the oil-rich pre-salt blocks off Brazil, across the Atlantic.
 
This good news nawaomba serikali tafadhalini msiache hili la kujenga kiwanda cha LNG likaenda Mozambique. LNG inafaida kubwa na nilipokuwa scotland nimeona manufaa yake kiviwanda na maendeleo ya jamii. Vile vile mapato ya gas yataongeza pato la nchi. Mheshimiwa JK do not mess this please.
 
Yani kweli mkuu naomba Mungu wasiingize siasa kwenye hili. Hata vyama vya upinzani natumai havita pinga tu ilimradi.
 
Yani kweli mkuu naomba Mungu wasiingize siasa kwenye hili. Hata vyama vya upinzani natumai havita pinga tu ilimradi.

Chini ya ccm hata tungechimba mafuta kila mkoa,maendereo hakuna kwahyo mi sioni umhimu labda kama kingekuwa chama kingine.
 
what does this mean? Statoil owning 65% & ExxonMobil owning 35%? doesnt Govt of Tz own anything there? waiting tax only?
 
nilikuwa naangalia tbc jion ya leo wakaonyesha use of gas in cars, TPDC waliahd 2008 wangeweka kwenye magari na nyumba
 
Habari za faida za gesi asilia zinapatiakana kwenye mtandao wa internet. angalia www.angas.us na www.albertaenergy.gov. hebu achani uvivu. Kama unadhani madai ya wanaMtwara yanatokana na unaowaita vyama vya upinzani umekosea. WanaMtwara wanaunganishwa na umasikini wao kutokana na serikali kutumia rasilimali yetu kwa miaka 50 bila kutufaidisha wenye rasilimali. Sisi tumekuwa tukilima zao la korosho kwa muda wote huo na takwimu zinaonyesha kuwa kuanzia mwaka 1963 hadi 2012 korosho imeliingizia taifa hii pesa za kigeni dola trillion 7 lakini barabara ya kuelekea huko zinakotoka korosho yaani Mtwara vijijini, Tandahimba, Newala hadi Masasi haipitiki kwa mashimo. Sasa tunasema imetosha gesi asilia na mafuta yanayopatikana huku kwetu lazima yaanze kutunufaisha sisi kwanza. tafadhari angalia www.angas.us uone jinsi majimbo 48 ya marekani yanayochimba gesi na mafuta unone yanafyonufaika na raslimali hiyo.
 
Duh...hiyo gas ilivyo nyingi na nchi isipoendelea basi itakuwa ni laana tuu,acha wazungu wachimbe wachukue chao watuachie tuu hata 20% na kazi inatosha kufanya nchi kuwa middle class.
 
Yani kweli mkuu naomba Mungu wasiingize siasa kwenye hili. Hata vyama vya upinzani natumai havita pinga tu ilimradi.

Mkuu sama hapa wanasema according to Bloomberg:

East Africa is attractive to oil firms because of its relative proximity to Asia's big LNG consumers.
To allow exports of the fuel to major markets, there will be a need for installations to turn gas into freezing liquid for transport by ship. Statoil and BG are on course to build one of the first.

Anadarko Petroleum Corp. and Eni SpA are planning to build an LNG export terminal in Mozambique.
The plant to be built by Statoil and BG would have at least two processing units, or trains, to process gas from Statoil's Block 2 and BG's Block 1.
"In addition to the 10-13 tcf that we have, they (BG) have a similar kind of number (in Block 1)," said Mr. Dodson.

"So if we have 20 tcf, there will be a discussion on whether you develop all of that straight away or whether you build two trains and then add a potential third train, or even a fourth."

Sekta ya bandari na treni zinaweza kukukua kama tukiweza kujenga LNG plant Tanzania. Na tunayo sehemu nzuri Mtwara ambapo tunaweza kujenga bandari inayoweza kukidhi mahitaji ya meli za mafuta.

Vile Tunaweza kuiboresha reli ya kusini iliyokufa tangu wakati wa Nyerere kwasababu anazozijua mwenyewe. Hilo linaweza kufufua sekta ya reli pia. Achilia mbali viwanda vyenginevyo vinavyohusiana na gesi.

Ila naona kuna wengine hawataki iende Tanzania hiyo LNG, wanataka either iende Kenya au Mozambique. Na zaidi soma huyo huyo mwandishi wa bloomberg anavyotuharibia anasema hivi:

There is political risk to the project, with oil and gas becoming a divisive issue in Tanzania.
While oil and gas could be a much-needed source of revenue for the developing country, there are fears energy could prove to be a "resource curse," bringing the kind of unrest experienced by Democratic Republic of Congo and Nigeria.

In the southern region of Mtwara, residents are threatening to block a gas pipeline project until they see more of the benefits.

The government has accused opposition leaders of inciting opposition to the pipeline, which it hopes will boost generation of cheap electricity and end chronic energy shortages.

Opposition politicians and activists have been calling for a halt to the issuance of oil and gas exploration licences until Tanzania revamps laws regulating its fast-growing energy sector.

The government has unveiled a draft national gas policy and plans to have new legislation in place this year.

Hatari iliyopo kwetu tunaweza tukabakia tunalalama na kusema sana kama hatujakuwa mwamko na jitihada za kutosha kuhakikisha hili swala linabakia Tanzania.
 
This good news nawaomba serikali tafadhalini msiache hili la kujenga kiwanda cha LNG likaenda Mozambique. LNG inafaida kubwa na nilipokuwa scotland nimeona manufaa yake kiviwanda na maendeleo ya jamii. Vile vile mapato ya gas yataongeza pato la nchi. Mheshimiwa JK do not mess this please.

Hiyo ni Scotland, na hapa ni TZ, nchi mbili tofauti, watu wawili tofauti, Tamaduni mbili tofauti!
Huo Mtambo bora hata usijengwa hautaleta faida yoyote zaidi ya ajira chache ambazo pia watakaopata ni watoto wa hao hao wanasiasa, lkn Mwananchi wa kawaida wa Mtwara au TZ atabaki kuwa Maskini kama alivyo kabla na baada ya huo mradi pia kuisha!
 
Political risk is one of the biggest factor to be considered for FDI decisions to a host country. Yatupasa tuelezana ukweli watanzania, yaliyofanyika mtwara yanaweza kuwaogopesha wawekezaji na hatimaye matarajio yetu ya kunufaika na hii rasilimali ya gas kutotimia. Tunaomba serikali yetu ifanye juu chini to harmonize the situation to rectify the Tazania image to investors.
 
Hope serikali inaona hili
Wakizubaa wakenda Msumbiji immekula kwetu

Afu msumbiji wana kitengo active sana cha Gas ana oil
 
Hope serikali inaona hili
Wakizubaa wakenda Msumbiji immekula kwetu

Afu msumbiji wana kitengo active sana cha Gas ana oil

Not a problem at all,hiyo gas haiozi wala haitapotea isipochimbwa leo...muhimu lazima nchi ipate good deal sio mambo ya mikataba ya zimamoto inayotuambia faida tutaiona baada ya miaka 20 huku wao wakiingiza billions from day one,mpango hapo ningekuwa mimi ni nusu kwa nusu kama hutaki tembea,hawa wazungu ni mafia sana watakuja na list ndefu na kila hadithi na vitisho na ukiwa mjinga utaamini,dawa yao ni moja tuu tell them bring your money and technology na mimi nitafungua gas yangu na kitakachopatikana ni nusu kwa nusu period!..la sivyo itakuwa mambo ya gold ya 2% wao 98%
 
Gas bila ya kusafishwa au kugeuzwa kuwa maji maji ni sawa sawa na maji machafu. Vile vile wakishajenga Msumbiji au Kenya kuwashauri waje kujengwa kwenu usahau itakula kwetu mkuu. Lazima tuwe tunaangalia mbali mkuu mikataba iwekwe na kuwekwe vipengele vinavyoruhusu marekebisho na kama hatujui namna ya kutengeneza mikataba tuoutsource from Middle East and South American Lawyers waje kutusaidia. But kupoteza muda na fujo kama za Mtwara zitawakimbiza wawekezaji na mwishoe tutabakia kama Dowans tunalamba matapishi yetu. Wajinga ndio waliwao mkuu tuwe makini katika hili swala ni very delicate for both sides of the coin.
 
Its all good na hakuna anayekataa gas au LNG plant isijengwe na tunataka hao investor wapate faida pia lakini issue ni hiyo mikataba ya kuuana,sasa faida gani wao kuchukua 100% nyie mnabaki na mashimo tuu?mbona nchi kama South africa au Australia wanapata pesa nyingi sana kutoka kwenye dhahabu kutoka hao same investors lakini sio TZ?export ya gold TZ ni more than 2 billions $$ (na still nina doubt hizo number ni zaidi kama sio manipulations) lakini unajua treasury zinaingia ngapi? ndugu kinachoendelea pale ni wizi na umafia wa hali ya juu na mikataba yote imetengenezwa investor abebe kila kitu,hawa investors ni kama zile shark loans usipo kuwa makini watachukua mali zote na utawalipa wewe....tunataka fair deal la sivyo wasije!
 
Koba,

Come on be reasonable, I can understand your fears but in my point of view naliona kama hilo tatizo linatokana na viongozi wetu kutanguliza 10% kwanza kabla ya kuwa makini na mazingira ya mkataba husika. Hata hivyo hilo linaweza kurekebishika kwa kuwashinikiza upinzani kama Chadema, CUF na NCCR kuingia katika makubaliano. Wakati tunabishana sisi vile vile tusiwacheleweshe wawekezaji kwani delayment, na fujo zitawakimbiza na kuwaita tena sio kitu cha rahisi. Tukisubiri hadi tuelewane wenyewe kwa wenyewe kutakuwa hata hiyo deal haipo believe me.
 
Cha muhimu ni kuweka katika mkataba kua kama unachimba gas yetu na LNG plant ijengwe kwetu sio kuchimba hapa plant iwe mozambique hili likae kwenye contract kabisa,pia kuhusu mapato ni hivi hawa statoil ni wa norway kwao kwenye mambo ya oil and gas serikali inachukua 78% through tax na investor anabaki na 22% kwaiyo hapa kwetu hata wasipofanya kama kwao basi iwe tz tupate 60% wao 40% au haya basi hata 50% 50%
 
with discovery of 4 & 6 tcf of gas,this means our reserve for LNG is about 39(40) tcf? tusipoendelea hapa basi tumerogwa

Mkuu sisi Wafrica ni binadamu wa ajabu sana - chukulia nchi kama Nigeria iliyovumbua gas/mafuta tangia miaka 1950s je raia wake wamenufahika kivipi zaidi ya kunyongwa na Serikali yao mfano - Sarro Wiwa na wenzake.

Kuna mwana JF amesame amebahatika kutembelea Scotland kwenye azina kubwa ya mafuta na gesi (North Sea Oil) akwambie alivyo ona raia wa huko wanavyo faidi matunda ya Natural resources zao.
 
Back
Top Bottom