SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
Kama kuna mtu ana stationary yake au anaijua stationary wanayoprint kwa bei nafuu (sh 100 per page) naomba anielekeze kwan nna shida ya kuprint kazi yangu yenye page nyingi ila nna hela kdogo ndo maana nataka sehem ya bei nafuu... Natanguliza shukrani