Statement: Positive results from Buzwagi processing trial

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,176
Fri 22 Sep 2017 07:00
ACACIA MINING PLC - Positive Results from Buzwagi processing trial

PR Newswire
London, September 21
22 September 2017

THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION
Acacia Mining plc

Positive Results from Buzwagi Processing Trial
Acacia is pleased to announce positive results from the processing trial underway at Buzwagi that has been designed to maximise gold doré production from the mine.

Buzwagi currently produces both doré (gold bars) and a gold/copper concentrate (with over 90% of the value of the concentrate being gold). During 2017, gold/copper concentrate has accounted for approximately 65% of Buzwagi's gold production. Since 3 March 2017, however, the mine has been unable to export and sell its concentrate, and as such has only been selling approximately 35% of its gold production, whilst incurring 100% of the cost of production.

The results of the processing trial to date have indicated that Buzwagi should be able to achieve gold recoveries of around 85% through the additional use of reagents in the leaching circuit at limited additional operating costs. All of the recovered gold will be produced in doré form. Buzwagi previously intended to end concentrate production in Q2 2018, but as a result of the trial the mine will solely produce doré from now until the end of its life in 2020.

There are no changes to group production or cost guidance resulting from this processing change, however it will result in Buzwagi being able to sell an additional 8,000-10,000 ounces per month for the remainder of the year. As such, Government royalties and local service levies (which are based on revenue) from Buzwagi are expected to more than double for the remainder of the year due to the increase in sales compared to the last 6 months. We believe that the changes will move the mine from a monthly cashflow negative position to a monthly cashflow positive position, strengthening Acacia's balance sheet and helping to protect thousands of direct and indirect jobs that the Company supports.
 
Alafu kesho utasikia wanafanya mambo kwa siri wakati kila wanachofanya hukiweka wazi kwa serikali na wana hisa wao.

Wametuibia kupitia sheria na mikataba tuliosaini na si vinginevyo.

Tuache kujikosha na kutafuta kick wakati ujinga ulikuwa wetu.

Tatizo ni kuwaona wale wanaohoji maamuzi ya wale tunaowaona "miungu watu" kama wasaliti.

Hata sasa kuna mambo watu wakihoji wanaonekana kama wahalifu lakini huko baadae yatakuja kututokea puani.
 
Mimi hata sijaelewa nangoja Watudadavulie kwa lugha ya kwetu

Ni hivi zamani walikuwa wanaprocess kiasi kidogo cha dhahabu hapa nchini, halafu sehemu kubwa inauzwa nje kama makinikia lakini ndani yake ni dhahabu. Ndio sababu wameyumbwa kibiashara kutokana na zuio la makinikia wakati pamoja na kwamba wanaendelea na uuzaji dhahabu kama kawaida. Yaani Makinikia yalikuwa na faida kubwa zaidi kuliko dhahabu. Maajabu!
 
Mzgo uliokua unafichwa katika Maknkia naona wamesalimu amri imebidi wauzalishe uonekana baada ya wizi wao kushtukiwa...lazima wanyooke walipe kodi na waache utoroshaji wa madini kwa kigezo cha Maknkia
Badala ya kuzalisha kopa, silver na dhahabu kama walivyokuwa wanasema, sasa wanazalisha dhahabu na silver tu. Kopa yote wanatupa, je nani amepata hasara. Umejiuliza hili swali.
 
Badae tutasema mizigo bandarini imepungua, yale malori madereva watafute mashamba wakalime
 
Kwahiyo serikali itakosa mapato yatokanayo na silver na copper, serikali imeingia cha kike asubuhi saa nne.
 
Mzgo uliokua unafichwa katika Maknkia naona wamesalimu amri imebidi wauzalishe uonekana baada ya wizi wao kushtukiwa...lazima wanyooke walipe kodi na waache utoroshaji wa madini kwa kigezo cha Maknkia
Ironically, President Magufuli is publicly 'teaching' Tanzania farmers on how to be tax evaders!!
 
Ni kweli dhahabu nyingi ipo kwenye makinikia, ila sio dhahabu nyingi ipo kwenye kontena moja. Nadhani hapa ndio kuna utofauti. Maana inabidi uzalishe mokontena mengi ili uipate dhahabu yako yote. Ni uelewa wangu
 
Wameanza kuheshimu taratibu za Magufuli, safi sana, mimi kwenye suala la wakwepa kodi automatically naungana naye Magufuli
 
Alafu kesho utasikia wanafanya mambo kwa siri wakati kila wanachofanya hukiweka wazi kwa serikali na wana hisa wao.

Wametuibia kupitia sheria na mikataba tuliosaini na si vinginevyo.

Tuache kujikosha na kutafuta kick wakati ujinga ulikuwa wetu.
Mkuu, wizi wa makinikia ni sawa na wizi wa kanya boya a.k.a utapeli yaani unaambiwa kwenye mfuko humu kuna mbuzi unauziwa ukienda home unakuta mbwa. Ssa wizi wa aina hii sijui una uhusiano gani na hiyo mikataba unayozungumzia.
 
Serikali inajaribu kusahihisha makosa yaliyofanyika, kwako ni kutafuta kiki!!

Hakuna zuri kwako linalofanywa na serikali!!
 
Yaani sasa hivi Acacia wapo wapo tu,wamenyimwa uhuru kwa mkataba ulio wazi kabisa...so sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…