Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Heshima zenu wakuu. Kiukweli napata tabu sana na startimes decoder. Yaani picha zinakwama balaa, nimeweka hadi antennae yao ila hakuna improvement yoyote. Kuna mtu kaniambia nitafute antennae ya Easy tv. Je ni kweli inasaidia? Mwenye uzoefu please!?

Mkuu hapo tatizo c antena kwani wiki hii ni majanga matupu c kwako tu,nadhani na hali hii ya mawingu hususani kwa dar inachangia sana,mi ninatumia antena ambayo ni powerfull,sana ambayo hata buster huwa ctumii ila kwa wiki hii imegoma,unaangalia chanel mala no signal!
Kuna mtu kaniambia nitafute antennae ya Easy tv. Je ni kweli inasaidia? Mwenye uzoefu please!?
SIo antenna tu, kama unaishi Dar nunua kabisa king'amuzi cha easy TV usahau masahibu yote ya Startimez. Hutajutia
kweli startimes ni janga la taifa duh
Wapo Zhonghua Garden pale Morocco, inagwa wana mawakala Majumba 6 Ukonga na Mwenge. Gharama za kisimbuzi ni 100,000/- kwao na 120,000/- kwa wakala ambae anakufungia. Gharama hiyo inahusisha waya mita 15, antenna na gharama za ufundi. Gharama kwa mwezi ni 9000/-Asante mkuu. Unaweza nipa gharama zao? Decoder na monthly payments plus channels zilizomo? Ntashukuru sana mkuu.
Wapo Zhonghua Garden pale Morocco, inagwa wana mawakala Majumba 6 Ukonga na Mwenge. Gharama za kisimbuzi ni 100,000/- kwao na 120,000/- kwa wakala ambae anakufungia. Gharama hiyo inahusisha waya mita 15, antenna na gharama za ufundi. Gharama kwa mwezi ni 9000/-
Channel zilizopo:-
Huwa haikwami hata kidogo, sijajutia tangu nimeinunua mwezi Januari mwaka huu
- Itv, Tbc1, Clouds, DTV, Channel 10, Eatv, Capital Tv, KTN, Citizen Tv, UBC (Local+East Africa channels)
- Bbc World, Al Jazeera, CCTV (Int'l News)
- Duba Sport, Optima Sport (Sports)
- EWTN, Emmanuel TV, Peace TV, (Religious)
- MBC 1,2,3,4 MTV, Lotus (Movies/Entertainment)
- Nikkelodeon, MBC 3 (Cartons) na nyingine ambazo sijazikumbuka. Ila kijumla zipo channels 33 (5 ni za kichina)
Pamoja sanaAsante mkuu!
SIo antenna tu, kama unaishi Dar nunua kabisa king'amuzi cha easy TV usahau masahibu yote ya Startimez. Hutajutia