Startimes washenzi kweli wanamatatizo geni na chanel za itv na eatv taarifa ya habari wanaweka black screen tangu lipumba akiongea...mpaka sasa wameweka black hata wakati wa mdahalo katkata.. hivi ving'amuzi vya wachina shida tupu. Itv hebu waulizeni kulkoni tuhamie azam king'amuzi