Startimes wameondoa 'free channels'

Halafu Cha ajabu hawapokei simu za huduma kwa mteja sijui wametoa namba za nini
 
TCRA nyie ni wanachama wenzetù hapa jukwaani na nyie ndio waratibu wa huduma zote za mawasiliano nchini, kwanini Star Times wametuondolea channels za bure?
 
Serikali gani yakuingilia kati? Kwani umesahau kipindi cha Magufuli wakishindwana wapi nao watu? Samia unadhani ndo atafanya kweli? Aaah wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…