komandoyosso
New Member
- Oct 11, 2017
- 1
- 0
kama unatumia kingamuz cha startimes nyumbn kwako kile cha anternal au dish naingiza channel za dstv ziko 209 na za Azam TV zipo package 3 popote ulipo nakupa huduma unachofanya unanitumia smart card nakupa huduma nafanya Kaz kwanza nafanya 45000 mwaka mzima free
======
UPDATES:
Startimes wakanusha.
======
UPDATES:
Startimes wakanusha.
habari zenu!
tafadhari startimes tunapenda kutoa tahadhari, kuwa huduma hii ni ya kitapeli, tumeshapokea malalamiko mengi kwa wateja wetu kuhusu kutapeliwa na mtu huyu. Tafadhari tunaomba mchukue tahadhari kwa hili.
hivi sasa startimes tumeshafikisha taarifa vyombo vya sheria, na kwa kushirikiana na jeshi la polisi tumeunda timu yetu kwa ajili ya kumnasa mtu huyu.
maelezo tafadhari piga 0764700800-0677700800