Startimes vs Ting: Ushauri tafadhali

vyote viko pouwa ...ila TING unapata uefa champion league..hiii iko chini ya ATN....STAR TIMES unapata tbc,chanel ten,clouds tv..EASY TV cjui kwa kweli ingawa inasifiwa...bt uamuzi ni wako..mkuu..zote bei pouwa...

Coverage je? maana star times wamasema mikoa ya DSM, Dodoma na Arusha, je hiyo Easy TV wao wapoje?
 
MZEE KAMA UNA NET YA UNLIMITED UNAWEZA KU STREAM BILA MATATIZO KAMA CHANNEL ZA BONGO TUMIA ANTENA ZA NJE KUNA WEBSITE HIYO UNAANGALIA SKYSPORT HD 1,SKYSPORTHD 2, SKYSPORTHD 3,LIGI ZOTE UEFA.EPL LALIGA BUNDASLIGA CHANNEL ZAIDI YA 1000

LIST OF CHANNELS

kama hazitoshi semeni niangushe dude jengine entertainment kwenda mbele we dont pay for shit its all free hope you enjoy
 
Wadau nisaidieni nataka kununua kin'gamuzi cha bei poa kati ya startimes au ting au kingine chochote lakini si dstv
Pamoja na gharama zao,naomba pia kujua ni kipi ntapata itv,eatv,capital,ctn,dtv,clouds,atn,tbc1.
Au kama zote hazipatikani ktk kingamuzi kimoja basi nijuzeni kila king'amuzi kinakamata tv zipi za kibongo?
Mwisho ni kipi kina channel nzuri za nje ukiondoa za dini, napenda sana michezo,wanyama,documentaries, films na habari.
Your advice will be highly appreciated.

Kumbe hii station bado ipo? sijaiona kitambo sana
 
kama hazitoshi semeni niangushe dude jengine entertainment kwenda mbele we dont pay for shit its all free hope you enjoy

mkuu naomba elimu kuhusu 'live stream' ninayo unlimited net.....vitu gani vinahitajika?
 
kama hazitoshi semeni niangushe dude jengine entertainment kwenda mbele we dont pay for shit its all free hope you enjoy

aisee ni nouma nimejaribu na bundle ya voda unlimited inafanya kazi hakuna scratch wala nn
 
kaka me sijaelewa hiyo ishu ya unlimited internet. unatakiwa kuwa na nini ungetupa somo kaka maana hatujaelewa na uwe na receiver gan samahan mkuu tupe darasa
 
King'amuzi unataka ushauri Jf,je ukitaka nunua gari si utataka ushauri kwa ukoo mzima!?
 
Kuna tetesi Easy TV watadrop local channels kwa sababu za misigano ya kibiashara ambayo imeanza tayari. Hata msemaji wa TCRA bwana Mungy akihojiwa na Clouds fm jana asubuhi alisema kuwa Easy TV haihusiki kwenye mfumo wa sasa, ni kama DStv.

Therefore, kwa muelekeo wa sasa (digitali), vituo vya TV vinaambiwa vianze kuwalipa wenye ving'amuzi kiasi kikubwa cha pesa na ndio maana Mengi akayaona haya mapema na kuamua kuja na king'amuzi chake.

Jingine ni kuwa, kuna dalili TCRA wakashindwa katika battle ya kuwalazimisha wenye ving'amuzi waoneshe channel 5 free of charge. Hili linakuja kwa sababu wenye vituo vya TV wanagoma kuwalipa wenye ving'amuzi huku wakitegemea back up ya tcra kuwa lazima vionyeshwe bure.

Kifupi tcra walikurupuka, walikimbilia kuwaelimisha wananchi na kuwasahau wadau wakuu wa mfumo huu mpya wa digitali.
 
Kipimo chake sio chako.yeye ame value king'amuzi kama wewe ulivyo value gari. NIMEFURAHI UMEMTAKIA MAFANIKIO MEMA KUWA ATAMILIKI GARI.
 
EASY TV bado ni bora kwa sasa
unapata movie chanel 4 kwa 24h
bbc,arabic movie,itv,eatv,ch10,capital,star tv,tbc,tvz,tv mlimani,ewtn/tumaini,cnn,c2c/dtv,sports,dubai sports,ktn,kbc,nation,ubc,citizen,euronews,peace tv,cctv 4,mtv,xing kong,phoenix china,channel V,al-jazeera,Ghana

Mkuu...ile emmanuel tv iliyogombanisha wateja wa star times na tbc ipo kwenye easy tv pia??
 
Kuna tetesi Easy TV watadrop local channels kwa sababu za misigano ya kibiashara ambayo imeanza tayari. Hata msemaji wa TCRA bwana Mungy akihojiwa na Clouds fm jana asubuhi alisema kuwa Easy TV haihusiki kwenye mfumo wa sasa, ni kama DStv.

Therefore, kwa muelekeo wa sasa (digitali), vituo vya TV vinaambiwa vianze kuwalipa wenye ving'amuzi kiasi kikubwa cha pesa na ndio maana Mengi akayaona haya mapema na kuamua kuja na king'amuzi chake.

Jingine ni kuwa, kuna dalili TCRA wakashindwa katika battle ya kuwalazimisha wenye ving'amuzi waoneshe channel 5 free of charge. Hili linakuja kwa sababu wenye vituo vya TV wanagoma kuwalipa wenye ving'amuzi huku wakitegemea back up ya tcra kuwa lazima vionyeshwe bure.

Kifupi tcra walikurupuka, walikimbilia kuwaelimisha wananchi na kuwasahau wadau wakuu wa mfumo huu mpya wa digitali.
Viongozi wetu wana mambo ya kitoto sana utadhani sio wasomi. Mimi nilijua tu kuwa hii tabia ya kukurupukia ving'amuzi itakuja watokea puani siku. Maana sio kwa shobo zile.
 
Back
Top Bottom