StarTimes Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 260
- 141
- Thread starter
-
- #861
kwa bahati mbaya mteja akikosea NO. za king'amuzi chake wakat wa kurecharge kunautaratibu gani ili kurudishiwa iyo pesa aliyotuma kwenu ?
usijali application hii ni kwaajili ya wateja wetu, tafadhari furahia chanel zaidi ya 52 bure kupitia startimea APP
Sio bure kama nalipia bando
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bure vipi? Bila internet bundle?katika APP yetu, chanel zilizomo unaziangalia bure!
Kifurushi cha Kuniwezesha kuangalia Mechi zote za WC ni kama Shilingi ngapi?katika APP yetu, chanel zilizomo unaziangalia bure!
Decoder yangu imezima ghafula na fundi kasema imeunguza IC Je nikinunua Nyingine natumia card yangu Ile iletu? Maana kunakifurushi changu naomba majibu.
Ikiwa mteja kaibiwa king'amuzi chake na mwizi anaendelea kukitumia na kulipia kwenu mnamsaidiaje aliyeibiwa kupata king'amuzi chake? Je aliyeibiwa akija na RB mnaweza kumpa namba za simu za mwizi wake?
Hakuna ujumbe wowote ninaoupata!!habari yako, je unapata ujumbe gani katika kingamuzi chako??
habari,nataka nibadili kingamuzi changu kutoka kwenye antena kwenda kwenye dishi, garama ni tsh ngapi.
@StarTimes Tanzania , nashukuru kwa kuonyesha kunisaidi!! Ninafuraha kusema kuwa tatizo lile nilipata ufumbuzi nalo!!habari yako mpatto, tafadhari tutumie namba yako ya mawasiliano, tukupatie fundi
0713220660habari bei ya kingamuzi na dish ni shilingi 78000 tu,
Startimes ndio waonyeshaji rasmi wa kombe la dunia Tanzania
ukilipia kuanzia package ya 18,000 utapata mechi zote katika mfumo wa HD kwa lugha ya kiswahili
tafadhari kama uko tayari tupatie namba yako