Unamaana gani kuwa wamepandisha gharama za kifurushi cha nyota kwa siku chache tuNinyi startimes ni wa hovyo sanaaa haiwezekani mpandishe gharama za kifurushi cha nyota kwa siku chache tu ....
Washeeeeeeenzi sanaaa ninyi ,
Natamani sanaaaa hata niwatukane matusi yaleee makubwaaaaa sanaaa sema nawaogopa mods....
Siku chache huzijui wewe ,yani wamebadlsha hata week haijapita tokea wasema ,maana yake nini badala hata wangekaa mwezi mzma ndo wabadilishe.Unamaana gani kuwa wamepandisha gharama za kifurushi cha nyota kwa siku chache tu
Mbona nimelipia nyota 9,000? Piga *150*78# uone bei zakeSiku chache huzijui wewe ,yani wamebadlsha hata week haijapita tokea wasema ,maana yake nini badala hata wangekaa mwezi mzma ndo wabadilishe.
Huu sio utaratatibu kabisaaa ni sawa sawa na command tu.
No mkuu kimepanda aiseee ,Mbona nimelipia nyota 9,000? Piga *150*78# uone bei zake
Hahahahaha Mkuu unahasira nao!Ninyi startimes ni wa hovyo sanaaa haiwezekani mpandishe gharama za kifurushi cha nyota kwa siku chache tu ....
Washeeeeeeenzi sanaaa ninyi ,
Natamani sanaaaa hata niwatukane matusi yaleee makubwaaaaa sanaaa sema nawaogopa mods....
Kumbe ndo maana juzi nililipa sh 6000 wakaniambia nimelipia kwa siku 16!! Basi wawe wanatoa matangazo kama bei zinabadilika sio kuviziana!No mkuu kimepanda aiseee ,
Sahv kimekuwa cha 10,000/=
Yaani startimes ni wajinga sanaaa sijawahi ona nawavumilia tu sababu kuna kombe la dunia na wao ndo official wanaonyesha baada ya hapo tutaonana wabayaaaaaa.Kumbe ndo maana juzi nililipa sh 6000 wakaniambia nimelipia kwa siku 16!! Basi wawe wanatoa matangazo kama bei zinabadilika sio kuviziana!
Basi nami ngoja niwavumilie mpaka baada ya kombe la duniaYaani startimes ni wajinga sanaaa sijawahi ona nawavumilia tu sababu kuna kombe la dunia na wao ndo official wanaonyesha baada ya hapo tutaonana wabayaaaaaa.
Bei ya dish+King'amuzi ni kiasi gani kwa sasa?
AzamTv hawaeleweki kama wataonesha WC ama la.
Na kwa package ya shilingi ngapi nitaona mechi zote?
Jamani, mimi channel zotw za nyumbani hazipatikani, inapatikana swahili channel tu, kuna tatizo gani!?
Nimeona kwenye simu za android wameshusha apk yao na channel zinaonekana vizuri, ila wameandika ni trial kwa May 2018 jee nini mpango wao kuandika trial ?