Wizi ni wizi haijalishi ni nani unamuibia. Inaonekana mnataka dezo na mnaikosesha serikali mapato. Kwa maelezo yenu (kwa kupenda channel za dini) nyie sio Wakristo wazuri. Acheni hizo, mtubu na mtaokoka!!!
Inasikitisha sana watu wako busy wanadiscuss jinsi ya kuiba!tena kwenye public forum!tsh 18,000 tu mnataka kuiba mkipewa access ya billions itakuwaje??
Inasikitisha sana watu wako busy wanadiscuss jinsi ya kuiba!tena kwenye public forum!tsh 18,000 tu mnataka kuiba mkipewa access ya billions itakuwaje??
zaidi hizi channel haziuzi zipo free na hii ni advantage kwa makampuni hayo kwani yatasikiwa watu wengi zaidi including wenye ving'amuziUNAJUA MAANA YA WIZ WEWE??? ACHA USHAMBA NA KUKURUPUKIA MAMBO USIYO YAJUA, KWANI WEWE UKIKUTA Tsh10,000 BARABARANI UTAIACHA AU UTAIOKOTA NA KUIPELEKA BOT KISA IMEANDIKWA BANK OF TANZANIA???? HAPA HATUIBI ILA TUNA FANYA FTA CHANNELS ZIONEKANE SASA KUONESHA ITV NI WIZI. KA HUJUI MA UTUNDU SEMA UFUNDISHWE SIO KUONGEAONGEA VI2 USIVYO JUA. Over
Emmanuel Tv ni mambo yote,naweza itazama Chnl siku ya j2 tokea Asubuh hadi bed time. Miujiza ya Ukweli kaka.
nina tv ya startimes imejengewa kingamuzi inaweza kuchakachulika? nipo kibaha
...Tunawaonea Wachina tu na Startime yao?? DSTV Imetushinda?? Tunafanye ili kulipa Bundle ya chini kabisa lakini tupate ya juu kabisa inayojumlisha Premier League UK????