jamani mi nimejaribu channel zote inanambia 0 channel received,labda wamebadili tupeni nyingine
Ukitaka kuondoa channel zinazoingiliana na radio bonyeza kitufe cha track kwenye remote then kwenye audio track select left or rightWakuu tunashukuru kwa utaalamu wenu.
Mimi nimejaribu nimepata atn.atn-2,tbc-1,sentana africa,aljezira,tbn,smile of child,love world,chanel ten. lakini inayoonyesha ni atn tu tena inaingiliana sauti na radio.
Vipi kuna aliyejaribu akapata itv, eatv, capital, dtv,
wewe upo wapi mkuu usije ukajaribu hizo zilizoandikwa hapo ni za sehem tofauti.Na frequency zinatofautiana na sehem uliopo (mkoa).
"Usihuzunishwe na maamuzi mabaya uliyoyafanya anza kuyashinda kwa mapya.".................Kuna binadamu wengine wanatembea na laana.kazi kuharibu maisha ya watt wa watu halafu anatoa statement kama hizi.kweli jamani??????????huwa najiuliza sana sipati jibu.kumbe ukimuona mwanaume amevaa suruali ukadhani ni mwanaume aah wapi kumbe ni suruali tu yeye hana uanaume wowote.na malipo yako ni hapahapa duniani kama ambavyo umeanza kuyapitia.ipo siku utashuhudia kwa macho yako fidia ya maovu yako ambayo hayana kipimo.uovu una mwisho.yuko wapi ghadafi aliyetamba na kuogopwa????uovu una mwisho.hutaendelea kutesa watt wa watu tena.upo mwisho wako na hauko mbali.utakumbuka maneno yangu.labda ni zile za mwanzo
aisee mi nipo arusha,vipi arusha wanacode yao tofauti na 530?
"usihuzunishwe na maamuzi mabaya uliyoyafanya anza kuyashinda kwa mapya.".................kuna binadamu wengine wanatembea na laana.kazi kuharibu maisha ya watt wa watu halafu anatoa statement kama hizi.kweli jamani??????????huwa najiuliza sana sipati jibu.kumbe ukimuona mwanaume amevaa suruali ukadhani ni mwanaume aah wapi kumbe ni suruali tu yeye hana uanaume wowote.na malipo yako ni hapahapa duniani kama ambavyo umeanza kuyapitia.ipo siku utashuhudia kwa macho yako fidia ya maovu yako ambayo hayana kipimo.uovu una mwisho.yuko wapi ghadafi aliyetamba na kuogopwa????uovu una mwisho.hutaendelea kutesa watt wa watu tena.upo mwisho wako na hauko mbali.utakumbuka maneno yangu.
aisee mi nipo arusha,vipi arusha wanacode yao tofauti na 530?
huku napata ITV na STAR TV,Atn inapatikana sauti tu,, picha ahionekani!! nimetumia frequency hizo hzio 570 na 530 lakini Antenna natumia ya kwao wenyewe Star times. nimenunua Antenna elfu kumi na saba!!
Nasikia kuna mshikaji k/koo anafanya mandingo inakuwa free and unapata stations zote!! I wonder kama hili ni kweli au lah, i mean ni uongo!! JE kuna mtu aliyesikia hilo suala?
Nimesoma maelezo ya wadau wote na nimewaelewa vizuri. Hacking ni kitu ambacho kinatakiwa kifanyike kwa siri ili tuweze kufanikisha hii kitu vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Mimi ninashauri tricks hizi ziwe zinadiscusiwa katika e-mail ambayo ni rahisi na secure. Mimi nawasilisha e-mail yangu hapa
E-mail: meezy@youngmaster.co.tz