Startimes Mnatuchukuliaje?

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,423
41,724
Kuna majibu ukipewa baada ya Kuuliza maswali flani unaweza ukahisi aliekujibu ana Utindio wa ubongo au kakuona wewe fala sanaa... Jana nilitaka Kulipa lifurushi cha startimes sasa nikawapigia kuuliza juu ya Uwepo wa channel ya Wanyama NGW na FOX.

Eti kadada kakaniambia kweli hizo channel hazipo sababu ya Mgogoro uliopo kati ya China na Marekani...! Nikasema duuh
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom