Mkaa Mweupe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 654
- 187
Ndugu wanajamvi,
Nimeshangazwa na king'amuzi cha startimes kujiupdate na kuondoa star tv, itv na eatv. Je hii ni kwangu tu au ndio mpango mzima?
Nina decoder ya continental yaani najutaa kununua hili takataka hakuna channel za maana zaidi ya local Tv . pia hakina ubora kabisa ktk pichaa...
Siku izi hakuna cha bure. Weka buku uone zote zitarudi.
Poleni wenye startimes,sijawahi kuwaza kuwa na hiki kisimbus.