Startimes kuangalia channel bila kulipia zote

Startimes kuangalia channel bila kulipia zote

barakachaplin

Senior Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
121
Reaction score
54
wakuu naomba mnielekeze jinsi ya kufanya unaangalia chanel za startimes bila kulipia kuna jamaa mmoja kaja huku kwetu huku moshi katokea dar anaweza kufanya king'amuzi cha startimes uangalie chanely zote bila kulipa sasa kama kuna mtu anaweza anielekeze
 
Startimes Terrestrial Decoder au Satellite decode?
 
terrestial decorder
Mm nina Terrestrial decoder lakini channel zote za maana za Startimes zimefungwa sio za Bure

Labda kuna huyo jamaa alichofanya decoder yake ikakubali channel za Continental ambazo ni free

Emu muulize channel kama TBC2 inashika?
 
We are great thinkers here....hilo tatizo lako ni la jukwaa la wezi na hii sio platform yao. Kwaheri!
 
Viazi kweli kabla muweke maujanjaa mna kwepeshaa kwan wewe unavyolipia kuangalia kingamuz wakat kwingine ni free huon waibiwa
 
Viazi kweli kabla muweke maujanjaa mna kwepeshaa kwan wewe unavyolipia kuangalia kingamuz wakat kwingine ni free huon waibiwa
Sidhani kama unaweza kuchakachua Encrypted signal kishamba shamba hivi
The keys encrypting signal keep changing
 
wapo watu wanAeza ivyo kuangalia channel zote bila kulipia hata luku wengi wanafanya hivyo unakuta mita ya luku ndani ya mwaka halipi ila kwenye kampuni ya luku wanaona kalipia luku
 
wapo watu wanAeza ivyo kuangalia channel zote bila kulipia hata luku wengi wanafanya hivyo unakuta mita ya luku ndani ya mwaka halipi ila kwenye kampuni ya luku wanaona kalipia luku
Ndio kuna watu wanaangalia channel bila kulipia lakini jiulize njia ipi wanatumia?
Kuna watu wanauziwa decoder za mawakala ambazo unakuta ina Free kuangalia 3years
Nae huyu utasema kachakachua?

Kuhusu Luku wala usijaribu maana utanyea debe milele
 
Leo wametangaza rasmi, jumla ya Channels 5 zitakuwa bure, uwe umelipia au la, utatazama bure mkuu...
 
Leo wametangaza rasmi, jumla ya Channels 5 zitakuwa bure, uwe umelipia au la, utatazama bure mkuu...
Kwani mwanzo ilikuwaje? Mana mm napata tbc1,tvi, Chanel 10, startv, itv, eatv, clouds, tve, tabibu, wrm TV na TV tumaini bila kulipia
 
Back
Top Bottom