Startimes hawafai

Naona na continental wanafuatia kwa upuuzi.. Toka wameleta kadi ni usumbufu Chanel za muhim kama itv,na hata hiyo ya star hazipatikan zaid ya wiki 2 sasa
Mbali ya chanel kufutika na kurudi,naona wameanza kutuletea tangazo tujiandae kuanza kulipia huduma ya kila mwezi kwa vifurushi.Na bei elekezi kwa kifurushi wametoa.Hapo ndio nataka kuona,vp wapo serious kucharge hela wakati huduma zao mbovu!!
 
Leo hii nimenunua king'amuzi cha DSTV. Startimes... Nimewapigia simu mara nyingi sana. Nilitegemea mngejali wateja wenu lakini nimegundua kuwa mmetufanya ATM zenu. Kwaherini
 


ngoja nihamie digitek huyu tink sijamjua vizuri startimes majanga tu
 
 
Ni kweli mafundi wao si lolote ni kodo hawajui kitu
Nikipata shida hii hii wakaniltea Fundi hawezi hata kutumia remote nikamlipa nauli na ufundi kodo wake akasema eti kingamuzi changu ni cha zamani hakifai mara waya mweusi haufai, tena niongeze pesa nikachukue kipya. Nilikakataa nikatumia ujuzi wa kuzaliwa nikanunua waya mpya mweusi hadi Leo kiko clear.
 
Staaa timz ni kisumbusi cha hivyo sijapata kuona ....niliwahama baada ya wizi wao kununua kifurushi cha zaid ya simbaz kisha wakawa wanazengua kutoa Chanel husika huku hela yangu wamekamua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…