Startimes Decoder

Startimes Decoder

Pro Mwl

Senior Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
197
Reaction score
37
Habari wakuu,
Wadau naomba msaada decoder yangu inaonyesha tv guide na tbc1 tu nyingine zote not subscribed hali hii imeanza baada ya kuisha kombe la dunia. Tatizo ni nini?
Natanguliza shukraan
 
Mkuu si wewe tuu,kuna majirani zangu wawili na wao walikuwa na tatzo hilohilo,wakawatwangia costomer service,wakaambia walipie kwanza kifurushi ndo wataendlea kupata huduma kama mwanzo(local Chnl.).
Kwaio inawezekana na ww hukuwahi kulipia tangu uliponunua,Chakufanya Nunua kifurushi,waku activate kwa mara nyngne.
 
Aisee nimekusoma kiongozi
 
hiv ni kweli startimes wametoa madish kwa ajili ya ving'amuzi vyao, gharama yake ikoje?
 
Wadau eti kunauwezekano wa kupata free channels kwenye kingamuzi cha zuku
 
Ving'amuzi vingine ni bure kabisa mimi hata ukinipa bure hicho cha startimes siwezi kukichukua.nlikuwa nacho nikauza kwa sababu ni outdated vile ni analog kabisa...bure sana.
 
Wadau nimerudi tena, naomba msaada wenu.

Chaneli zifuatazo hazioneshi kbs na sijaelewa tatizo ni nn

Tbc1, tbc2, tv1, chaneli10, star tv.

Msaada tafadhali. Kingamuz nimeipia.
 
Wadau eti kunauwezekano wa kupata free channels kwenye kingamuzi cha zuku
No huwezi I think wamevilock but kwa azam unaweza ongeza frequency. Labda ununue decoder ya azam then utumie hilo dish la zuku. But lazima ulipandishe kidogo kwenda location ya azam tv satellite au ununue free to Air decoder ndo utaongezea frequency kwa location hiyo hiyo zuku.
 
Wadau nimerudi tena, naomba msaada wenu.

Chaneli zifuatazo hazioneshi kbs na sijaelewa tatizo ni nn

Tbc1, tbc2, tv1, chaneli10, star tv.

Msaada tafadhali. Kingamuz nimeipia.

Hawa startimes na continental ni shida. Kuna muda hawapatikani so kuwa mvumilivu tu.
 
Ni zaidi ya mwezi sasa hizo chaneli hazionyeshi.
 
Back
Top Bottom