Startimes Bamaga (Makao makuu) ni matapeli

Aljazeera

Senior Member
Jun 27, 2006
128
43
Wafanyakazi wa Startimes wakiongozwa na dada wa reception na wa idara ya simu ajulikanaye kama Lydia, wanaibia wateja na serikali.

Wachina wameweka bei ya vitu vyote pale na tangazo kuwa kila malipo upewe risiti. Lakini cha kushangaza hawa wadada badala ya kuuza betri kwa bei halali ya shilingi 10000 wao wanauza kwa shilingi 15000, tena bàada ya kukuweka mida kwa kudanganya wanazifuata kwa wachina.

Wakirudi wanasema mchina kasema betri hazipo kama unataka lazima ulipe elfu 15 na hamna risiti.

Huu ni wizi kwa mteja na kwa serikali.

Hata kwenye ving'amuzi na antena wateja wanapigwa sana na hawapewi risiti.

Mamlaka hisika fuatilieni suala hili, serikali inakosa mapato.
 
Bongo, Congo , kwa tabu mbeki, weka muziki
 
Back
Top Bottom