Start From Now: I'm CCM, Real CCM

Akili za kushikiwa ndivyo zilivyo!

Mwenye mapenzi ya kweli na Tanzania hawezi kutetea uongo uliokithiri kama huu.

Hata mnafiki pole pole anaujua ukweli kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki chama cha wahuni na mafisadi hakiwezi kushinda.

Hakika!!
Chadema ni dhaidu zaidi pamoja na mapungufu CCM.
Ni bora kuendelea na CCM kuliko hawa ambao hujui wanataka kuja kufanya nn wakishika dola
 
Umechagua fungu jema na lenye neema...ubarikiwe
 
Kweli umeanza safari ya matumaini. Hatuna chama cha upinzani Tanzania bali tuna chama cha msimu, vituko na matukio.
 
Mbona unazungumzia chadema tu vipi Chauma,ADC,Nccr,CUF, huoni kwamba una sgenda binafsi maana hao nao wapinzani,mi badhani tuwape heshima viongozi wetu wa vyama vyote,huwezi kubadili mfumo,mfumo unabadilika wenyewe.
 
Hivyo sio vyama, ni genge la wahuni wa kisiasa
 
Nafurahi kuona maoni yako lakini mi nikimsikia Mze Hashim Rungwe, naona anajitahidi ,ila vyama vyetu vinatakiwa kufanyiwa marakebisho na hizi kelele za watu si bure kwa sababu mi binafsi sifahamu falsafa na misimamo ya vyama vyetu,kuna wasimamia jembe na nyundo ndio wakandamizaji na wabezaji,wanademocrasia hata katiba yao hawaisemei,wazalendo,sijui haki sawa hawaeleweki,yaani tunaangalia wapi kuna unafuu tu.
 
Siamini mtu aliyekwenda shule kuona kutumia cheti Kisichokuwa halali kuwa ni jambo dogo! Elimu yako ina walakini ndugu yangu. Cc cocochanel
 
Njaa ndo inakusumbua
 
So sorry there is Tab in the booth
 
Suala la Makondakita ni kila mtanzania mwenye kujitambua haungi mkono!
 
Hakika!!
Chadema ni dhaidu zaidi pamoja na mapungufu CCM.
Ni bora kuendelea na CCM kuliko hawa ambao hujui wanataka kuja kufanya nn wakishika dola
We ni mnafiki umesema bora kuendelea na CCM kwa lugha rahis ulikuwa kulekule Endeleeni na upumbavu wenu mwisho wenu uko karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…