Stars/Msumbiji Live update!

Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Mwinyi Kazimoto.
 
Duh! Mwinyi kafunga goli hadi kapiga ishara ya msalaba!
 
Hii timu bure kabisa hawa hata wakicheza na Twiga Stars wanalambishwa tu..
 
mwinyi kazi moto kafunga goli safi sana dakika ya 42. pasi imetoka kwa vicent barnabas. john boko hayumo mchezoni.
TZ 1 - 1 MOZ.
 
Ehu ahsanteni taifa start mpira mapumziko
 
hivi kaseja kavaa jezi za nchi gani? kaptura alovaa siielewi au makipa hawavai jezi za taifa?
 
Yanga wanabahati, huyu mwamzi wa mezani ndo atachezesha mchezo wao misiri dhidi ya zamalek. so kazi kwao kuongea nae.
 
Nipo hapa naangalia kupitia start tv! Sijapenda the way tom chilala anavyotangangaza design kama anawataja xana the mambaz uwanjani.
 
bwahahahaha arifu punguza munkari......sasa nipe matokeo.....bwahahahaha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…