Stars cannot shine without darkness.

Stars cannot shine without darkness.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,002
Reaction score
37,920
Unataka kuwa star ? Unataka kushine? Unataka nyota yako i shine katika jambo unalo fanya?. Iwe ni biashara, kazi, kipaji etc.?

Ukitaka nyota yako ing'ae basi nenda gizani. Nyota yako haiwezi kung'aa kama upo kwenye mwanga.

Stars cannot shine without darkness. So for you to shine u have to first go into the darkness.

# Everything done in the NIGHT is alRIGHT!!!
 
Back
Top Bottom