Starlink ilikuwa ni suala la muda tu

Starlink ilikuwa ni suala la muda tu

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
836
Reaction score
2,805
Unapozungumzia Starlink jua umegusa maslahi ya Mmarekani, wenzetu huwa wana tabia moja ukileta figisu kwenye biashara yao jua na wewe ya kwako itapigwa chini yaani pasu kwa pasu.

Nipe nikupe kama vile China inavyopigwa Ban sometime kuingiza bidhaa Marekani na wao wanalipiza yaani biashara yenye usawa ndio ulimwengu ulivyo sasa

Ni muda muafaka mitandao ya simu ijipange mambo yakuuziwa GB 1 ,2100 speed ya kobe yamefika ukingoni

Pia soma
- Starlink yawasilisha maombi ya leseni kwa TCRA. Je, safari hii watatoboa? Ushindani wa gharama na ubora wa internet utakuwaje?
 
Back
Top Bottom