Elon aliikimbia Africa. Kuna wanaume wanabreak popote. Hio kampuni itakuwa ya kipeke. Africa haina infrastructure nyingi ika wanasansi hawakatu tamaa.
Anayofanya Elon mengi tatafanywa Africa na kumstahaabisha kumbe hata Africa unaweza fanya jambo likakua.
Nategejea AI car zitaanzushwa,AI robit company zitaanzishwa, hyperloop research zitaanzushwa.
Nimepitia you tube nimeona mkenya mmoja anafanya research za kurusha rocket kama hoby ila sasa hivi anataka kuanzisha kampuni za kurusha satelite angani, jamaa anakipaji sana. Africa kuna vipaji vikubwa ila hamasa ni ndogo.