Car4Sale STARLET inauzwa bei poa

Rajabu Msechu

Member
Joined
Apr 13, 2016
Posts
35
Reaction score
18
Hbr zenu wananchi wa JF, natumaini kwa uweza wake Maulana hatujambo.

Kama bango linavyojieleza, nauza gari aina ya Toyota Starlet.

Imelipiwa vibali vyote na ipo kwenye hali nzuri kabisa.

Nimeambatanisha na picha zake.

Bei inaanzia Milioni 6.3 huku mazungumzo yakiwepo.

0717 54 73 25.









 
kwa usawa huu wa awamu ya 5 sina uhakika kama utapata mteja kwa bei hiyojaribu kupunguza labda milioni 5
 
Kule kupatana nimekutana na starlet mil.3 na imesimamia kucha.
Usawa huu,lazima tuheshimiane sana.
Kule Mbeya wanasema mbombo ngafu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…