Starlet Glanza iliyomtesa mwanangu

mkuu hiyo gari tafuta mtu umuuzie siyo type yako hizo gari za wamama watu wazima. Hata mwanao hawezi kuvutiwa na hilo gari atavutiwa na gari ya kiume starlet. Huyo jirani yako atatamba sana kuliko wewe. Ungetaka kushindana nae ungenunua toyota mark x,altezza,subaru legacy au hata premio. Hiyo kluger hamna kitu halafu wewe umeshindana na mtu ambae hajawahi hata kujua kuwa unaumia yeye kuwa na gari je vipi kesho akinunua X5 utajisikiaje na gari lako la pension hilo
 
Haipitwi na wakati kivipi wakati hata toyota washasahau kama waliwahi kuzitengeneza wakaiita starlet???
unaposikia starlet akili yako inaganda kabisa haya angalia hizo za 2015 halafu uje useme tena kuwa toyota wamesahau walitengeneza lini starlet.
 
'Tumemkalibisha' ndio nini?
Hiyo Kluger kwa 16m umeiokota kwa nani?
 
starlet ni gari kali zaidi ya kluger mkuu, starlet ni gari isiyopitwa na wakati,low fuel consmptn and cheap price ni its spears
Yaani una akili na uzoefu mkubwa . wengi hufikiri kluger ni bora kumbe ni tatizo la kudumu mpaka unaitupa
 
Afadhali wewe umenunua Gari bhana mi Nina bajaji yangu inanitosha tena ninainjoy sana na familia yangu ninapotaka kutoka out
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…