Starlet Glanza iliyomtesa mwanangu

The fighter never loose. Congra brother.
 
Daaaah baba mwenye gari hongera

Seems uko vizuri kwa usawa huu million kadhaa umetowa wapi inabidi tume iundwe

Kidding ila hongera
 
Hahahaa nimependa usimuliaji wako.

Kutembelea makalio siyo jambo la kitoto aisee. Congrats mkuu for getting the ride.

-Kaveli-
 
Yaan ndeeeefu ili useme tu umenunua Klugger
acha ajipongeze kwa mafanikio na ni wakati wake kuutangazia ulimwengu kuwa alibana pumzi kwa muda mrefu na anayo kila sababu ya kuyafurahia matunda ya mipango yake sanjali na familia. tuache inda, wengi wetu hata Avon na Phoenix tunazotumia tumerith ama tunaazima kwa mwenyekiti wa mtaa.

Hongera sana mkuu! kula ujana.
 
Mara nyingi hatujui wazazi wetu wanawaza nini. Wao wanawaza makubwa zaidi kwa ajili yetu, sisi tunawaza tunachokiona mbele yetu tu. Hata wewe inawezekana ulivyokuwa mdogo ulikuwa una vitu unatamani mzee wako anunue wakati yeye anawaza vikubwa zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…