Safiiiii sana ,Mara nyingi watoto huwa wanauliza sana maswali baba na wewe utanunua gari.Nilihamia mtaa fulani akawepo jirani yetu ana gari aina ya starlet glanza, hali hii ilimtesa sana kijana wangu wa kiume.Sikwamba sikuwa na pesa za kununua gari ya aina hiyo ila sikupenda kumiliki usafiri wa aina hio.
Kila walipotoka kijana wangu aliwachungulia dirishana na kufadhaika sana hakika hali ile iliniumiza zaidi moyoni mwangu, kibaya zaidi wale majirani walikuwa wana mtoto wao pia wa miaka minne sawa na wangu hivo wakati mwingine alimwita 'King'twende mall lakini hakuweza maana si kila mara wazazi wake walimchukua rafiki ake ambaye ni mwanangu.
Mwanangu bila kujua nina sikitika sana moyoni mwangu na kupanga mashambulizi ya kimaisha aliendelea kunichukulia poa tu, lakini moyoni niliweka nadhiri ya kupata chuma nilichoona walau kina hadhi yangu kwani sikutaka ninunue gari leo na kesho nione kama nilikosea.
Tumemkalibisha mnyama 'KLUGER' kwa 16m na mwisho wa siku mwanangu ana furaha baada ya kusuibiri miaka miwili ya kutamani glanza bila kujua baba aliwaza nini.
starlet ni gari kali zaidi ya kluger mkuu, starlet ni gari isiyopitwa na wakati,low fuel consmptn and cheap price ni its spears
wabongo kwa sifa..sasa hapo lengo la huu uzi ni ili kutujulisha kuwa umenunua kluger tukuone na wewe matawi ya juu au lengo ni nini?
Punguza wivu mwisho utakuwa mchawi mpe pongezi kwa achievement zake!wabongo kwa sifa..sasa hapo lengo la huu uzi ni ili kutujulisha kuwa umenunua kluger tukuone na wewe matawi ya juu au lengo ni nini?
Nilihamia mtaa fulani akawepo jirani yetu ana gari aina ya starlet glanza, hali hii ilimtesa sana kijana wangu wa kiume.Sikwamba sikuwa na pesa za kununua gari ya aina hiyo ila sikupenda kumiliki usafiri wa aina hio.