Starlet carrat mpyaaa inauzwa kwa bei poa

Starlet carrat mpyaaa inauzwa kwa bei poa

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,269
Reaction score
1,109
Habari za muda huu wanajamvi!

Gari tajwa hapo juu inauzwa kwa bei pouwa kabisa. inaenda kwa shilingi 6.8 milioni. Gari bado jipya na lipo kwenye hali nzuri kabisa with full options kama vile sports rim tyres, full AC, music system inaplay DVD na pia inasupport bluetooth options kama vile kusikiliza miziki ya kwenye simu yako au kufanya voice call via radio ya gari unakaribishwa kuja kuiona muda wowote maeneo Ilala mtaa wa Arusha.



IMG-20150901-WA0029 (1).jpgIMG-20150901-WA0031.jpgIMG-20150901-WA0026.jpgIMG-20150901-WA0025.jpgIMG-20150901-WA0024.jpg


 

Attachments

  • IMG-20150901-WA0032.jpg
    IMG-20150901-WA0032.jpg
    116.5 KB · Views: 318
  • IMG-20150901-WA0028.jpg
    IMG-20150901-WA0028.jpg
    62.6 KB · Views: 302
  • IMG-20150901-WA0023.jpg
    IMG-20150901-WA0023.jpg
    120 KB · Views: 310
Dah! Hiyo ilikuwa yangu personally sasa sijui kwa around. Labda niichukue kama assignment tu kama nikisikia sehemu
 
Back
Top Bottom