Starehe yako ni ipi?

baba TCA Nadhani Bar yangu ya mwisho kutembelea ilikuwa ni Qbar na sikujutia kabisa, kwa vile Maisha club imehama mahala hapo hii Bar walau itakuwa inafanya biashara labda.
 
ha ha ha mwili utaoza mkuu...ipo siku ya kulala forever,sasa hivi inabidi kubanjuka tu
huwa sipendi starehe za kunifanya niwe busy mambo ya kuruka ruka me walaa. zaidi napenda kucheza game pia. kusikiliza mziki na kucheki movie na football
 
Ni kweli kabisa unajiwekea makazi mema peponi
 
Walevi wenzangu ukiwa ofisini chukua bia weka kwenye mfuko wa ndani wa koti la suti alafu chukua mrija nyonya tungi taratibu Utapata raha na steam isiyoumiza

Ahhhh nakupenda GAMBE
Ha ha haha unaweza kupindisha maamuzi ofisini
 
ha ha ha ha angalia wasije wakakupiga chupa machoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…