Mkuu...Binafsi aseeh napenda kusikiliza mziki mzito wenye ugumu fulani..
Kwa bongo. Watu kama mbwa, JCB late nelly, salu ti, mbishi, one, fid.
Africa sarkodie, ice, eno, Ricky,emtee,MI, mecasa, cassiper, nk
Juu, brother ali, rogue, wu, nas, nk.
Hahahahaa... doh. Mbuzi kafia kwa muuza supu.Nitafutie mzee nitakushukuru
Da les nimemkumbuka, dogo yupo kama Bow wow
Mkuu...
Mimi hapa hip-hop ngumu ndio nyumbani.
Kwa mbele(Old Skools)... Napenda hip-hop duos kama Geto Boyz,Gang Starr,Lost Boyz,Pete Rock N CL Smooth,NWA,Naughty By Nature,The Fresh Prince(Will Smith) N DJ Jazzy,Tribe Called quest,Leaders of the new school,Outcast,Run DMC,Sugar Hill Gang na mengine mengi.
Ila Solo MCs ni 2pac,Krs one,Nas,B.I.G,Dj Quick,Eazy E,Ice Cube na wengine kibao.
Upande wa new skools ni Kendrick Lamar,J Cole,Chance the rapper,Childish Gambino na wengine.
Nimesha isikia hiyo mkuu, yaani mm nilikua nashindwa kutofautisha sura. In short nyimbo za kibongo nimeanza kushabikia mwaka jana yaan hua hazipand kabisa, ila nigeria, ghana, na SA nawaelewa sana sidhan kuna msanii mkubwa ambae simfahamTafuta word yupo na ice prince usikilize.
AKA yupo tofauti na montana
Fanya hivyo, unawajukuu wengi sana Fanya kunivutia kamaoja tuHahahahaa... doh. Mbuzi kafia kwa muuza supu.
Hiphop zenyewe hz za ney wa mitego na madee sijui zitatufikisha wapSema south ghana nigeria Cameroon hip hop wapo top kuliko sisi aseeh
AKANimesha isikia hiyo mkuu, yaani mm nilikua nashindwa kutofautisha sura. In short nyimbo za kibongo nimeanza kushabikia mwaka jana yaan hua hazipand kabisa, ila nigeria, ghana, na SA nawaelewa sana sidhan kuna msanii mkubwa ambae simfaham
Hahahaha....Whaaaaaat mkuu K. O namkubali zaid SA napenda sana nyimbo zake eg. Caracara, Ding dong, shkanda love akiwa na nandi mngoma, One time, son of Gun, mission statement
Kwenye Run jozi AKA alifichwa. Ila AKA anaswagga zake.Hahahaha....
Utaniambia nyimbo gani ya K.O nisiijue... Ila hiyo na Nandi Mngoma a.k.a Gangster Love ni kiboko.
Nimeona hii nyimbo ya G Nako na Jux wameiga video ya K.O ft Kid X Caracara.
AKA anaujua mziki wa huyu kijana... Kafunikwa kwenye Run Jozi mpaka God`s will.
Kama unaangalia Rebeca... kuna kamoja kanaitwa Niurka... unasemaje hapo?Fanya hivyo, unawajukuu wengi sana Fanya kunivutia kamaoja tu
Nakuunga mkono mkuu, mziki wa bongo hasa hiphop ni ule wa zaman. Ndio maana mm hua naona alikiba toka atoe single boy hajatoa tena nyimbo nzur(my view) nasikiliza nyimbo zake za nyuma tuAKA
Look how I put map of my city in the world.....
sema nimesahau lyrics coz sijui majukumu ndiyo yameongezeka siku hizi nimekuwa mzembe kufuatilia hiphop mkuu.
Bongo miaka ya 2008 9 10 11 12 13 walikuwa wanafanya vizur (maoni yangu) ila now wanazingua.
Chukulia mtu kama Bonta ujue huyu jamaa alikuwa na trend nzuri ya hiphop ila sijui alikuja kubugi wapi
Da Les Mkuu...Basi nimechanganya madawa hapo, itakua alichukua tuzo ya The Headies. Unampata yule dogo aliyeimba na Khuli chana kwenye Hape la Hape, akashilikishwa na AKA kwenye All eyes on you
Niangalizie mmoja unayeona yupo frex zaid babu, nikimpata basi mia mbili ya tumbaku umeilaKama unaangalia Rebeca... kuna kamoja kanaitwa Niurka... unasemaje hapo?
Hahahaha...Hip hop ni mziki mzuri.
Umenikumbusha hawa tribe called quest na track yao I lost my wallet in El segundo hahaha kitambo hicho.
Hapo red pabadilishe pasomeke Konyagi uone ntakavyopambana...Niangalizie mmoja unayeona yupo frex zaid babu, nikimpata basi mia mbili ya tumbaku umeila
Duu sasa hv nimepunguza momentum ya kufatili, umeusikia wimbo wa Kwesta ft Cassper unaitwa Ngud'Da Les Mkuu...
Nilimkubali sana kwenye Hape la Hape na verse ya mwisho kwenye All eyes on me.
Pia ana nyimbo ft Ricky Rick ni nzuri sana.
Sawa kabisa nilikua nimesahau ngoja nikuandalie ya mizinga ya gongoHapo red pabadilishe pasomeke Konyagi uone ntakavyopambana...
Sometimes huwa nafikiri labda umri ndiyo umeenda nimeshindwa kustep na vijana nini...Nakuunga mkono mkuu, mziki wa bongo hasa hiphop ni ule wa zaman. Ndio maana mm hua naona alikiba toka atoe single boy hajatoa tena nyimbo nzur(my view) nasikiliza nyimbo zake za nyuma tu
Run jozi hainichoshi kusikiliza pamoja na caracara.Kwenye Run jozi AKA alifichwa. Ila AKA anaswagga zake.
Kama aliyoimba na diamond aka kamficha jamaa saana. Pia ile remix ya re'up kawaficha emtee na mwenzake.