Kunyonya popcorn??????Mie napenda kunyonya Pop Corn jata sijui kwanii..
Najisikia raha kweli kweli ninaponyonya pipi ya kijiti.
Tatizo ndevu now zimeshaana kuota bai tabu tupu.
Nashindwa kujiachia kama zamani.
Sop Sad....
..hehh basi dori doriiiiiiiiWala situmii pombe 'agemate'
Umeshanisahau??
...huh afu details zako ni kidumee sasa tukueleweje etiiiiiiiiMie napenda kunyonya Pop Corn jata sijui kwanii..
Najisikia raha kweli kweli ninaponyonya pipi ya kijiti.
Tatizo ndevu now zimeshaana kuota bai tabu tupu.
Nashindwa kujiachia kama zamani.
Sop Sad....
Hahahhh..hehh basi dori doriiiiiiii
..zipo nying tyiuu drinks.....kama balime....vp na togwa je!??Hahahhh
Nitamanishe kingine ila sio pombe,kwanza nilishawahi kuonja ni chunguuuuuu
...waaaaaa!!!!Umbea
Starehe yangu kuu ni Boxing napenda sana boxing hasa nikimuona huyu jamaa Floyd Maywether huwa napenda sana anavyocheza kibishoo bishoo as if ni kitu ambacho ni kirahisi rahisiHi chit chat
Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa
Wewe je?
Hajui popcorn huyoKunyonya popcorn??????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umbea
Uncle usinicheke puliiizHajui popcorn huyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaiweza lakini?Starehe yangu kuu ni Boxing napenda sana boxing hasa nikimuona huyu jamaa Floyd Maywether huwa napenda sana anavyocheza kibishoo bishoo as if ni kitu ambacho ni kirahisi rahisi
Labda alikuwa anamaanisha Koni za bakhresa akafananisha na bisi (popcorn)Uncle usinicheke puliiiz
Mimi nimeshangaa hiyo popcorn anainyonyaje yani?
HahahhahhUmbea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaiweza lakini?
Ama unapenda kuwa mtazamaji tu[emoji12]
Togwa&mbege ni vitu navyotamani sanaaa kuonja maana majina yake tu yako so sexy[emoji39] [emoji39]..zipo nying tyiuu drinks.....kama balime....vp na togwa je!??
Ndio maana pale nikauliza kwa viulizo vingi maana popcorn inanyonywaje sasaLabda alikuwa anamaanisha Koni za bakhresa akafananisha na bisi (popcorn)
...hahaha * age mate* kweli bana inabidi tuludi kwenye uafrika wetuu........,Togwa&mbege ni vitu navyotamani sanaaa kuonja maana majina yake tu yako so sexy[emoji39] [emoji39]
Hahahahhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mm mtazamaji tu
..kaa vipi age mate twende inbobo sasa ili tu make** location **Togwa&mbege ni vitu navyotamani sanaaa kuonja maana majina yake tu yako so sexy[emoji39] [emoji39]