mwagavumbi 11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,254
- 44
Sendeka
-Zanzibar siyo inchi
-Wanaodai serikali tatu makuwadi
-Waliotoa maoni yakutaka serikali tatu siyo watanzania
-Takwimu za walioba 5% ndiyo wanaotaka serikali tatu
Mh. Sendeka akiongea kwa jaziba, dharau na matusi... amewaita mwenyekiti wa Tume na mitume kadha kama ni KUADI n.k
Wapo na Mh Mbaruku, amekasirika sana live kwa Sendeka kutukana live matusi.
Ameshindwa hadi kuongea, msimamizi wa mjadala kashindwa kabisa kuongoza
Sendeka kuna umuhimu wa kusoma historia.
Akiongea kwa jaziba, dharau na matusi... amewaita mwenyekiti wa Tume na mitume kadha kama ni KUADI n.k
Wapo na Mh mbaruku, amekasilika sana live kwa sendeka kutukana live matusiiii
Ameshindwa hadi kuongea, msimamizi wa mjadala kashindwa kabisa kuongoza
Sendeka kuna umhimu wa kusoma historia.
Mada
------
JE MUUNGANO UNA NAFASI GANI KWENYE KATIBA!
heheeeeeeeeeeee wewe umekosa cha kusema, amefafanua vizuri sana. 5% ndio waliosema serikali tatu, according to takim za warioba mwenyewe.(kama unajua hesabu lkn) ametoa mfano kwa nchi ambazo ziliwahi kufanya km warioba alivyopendekeza.
We nyamaza huna unalojua tunaandaa katiba ya watnzania mungu atuongoze muundo wa serikali uwe ni serikali mbili tu.Wewe na Sendeka ndiyo hamjui hesabu.Unafikiri kuandika 5% ndiyo kujua hesabu?unalijua somo linaitwa NAMBA?
Wanapoteza nini kama ukweli uko vizuri kichwani mwako make unaongea maneno mepesi sana wala hayana maana sana kwa dunia ya leo.serikali 3. wengine wanataka 2 kwa masilahi yao binafsi kuhisi watapoteza.
Halafu wewe mchochezi kweli sijui unapata faida gani kwa huu uongo na unafiki unaofanya kwenye mtandao.Mjadala uisha kwa mzozo kati ya waalikwa na pia waalikwa na mtangazaji
-mzanzibar nyinyi watangazaji pia mnaupendeleo kila sikumnamuwekanyerere na kura nyama za watu mbona karume huwa hamumuweki.....manaupendeleo nyinyi
-sendeka, kuwaita watanzania na hayati baba wa taifa wala nyama za watu ni dharau kubwa, nakusamehe bure na kukuachia dhambi yako mwenyewe
Mwisho wa mjadala
Bado naamini sana katika muundo wa serikali mbili mengine ni uroho wa madaraka tu hakuna jipya.