Star TV should declare their interest

Tutakifunga baada ya uchaguzi. Lowasa akuapishwa.
 

kasome tanzania Daima la mbowe.
 
Wewe ulilipia matangazo ya hicho chama chako wakakataa kurusha? wale ni wafanyabiashara na mitambo yake kainunua kwa garama, ina garama z uendeshaji pamoja na kuwalipa wafanyakazi. Kama wenzenu wananunua muda wa hewani ninyi mnataka mrushwe bure? mbona jana walikuwa kidongochekundu hukulalamika?
 
Kwani yule gwajima hajui kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi,hajui kuwa kabisa Lina waumini wa itikadi ya vyama mbalimbali,mbona kajiingza kichwakichwa kumkampenia fisadi na sisi tunafanya hivyohivyo,sasa kelele za nini?
 
Tanzania njaa sana,wafanyakazi wenyewe wanalazimishwa kuwa wana CCM maana Tv gani wanawaza CCM tuu na TCRA kimya kama hawaoni mkuu
Sisi ni mabadiliko tu hata media zote wachukue tumeamua
 
Kwani yule gwajima hajui kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi,hajui kuwa kabisa Lina waumini wa itikadi ya vyama mbalimbali,mbona kajiingza kichwakichwa kumkampwnia fisadi na sisi tunafanya hivyohivyo,sasa kelele za nini?

Gwajima kaja kumhjibu mliyemununua,sasa shida iko wapi?kwani aliongelea suala la Richmond?Yule ndiyo mshenga bana wanunueni wapiga kura wote na hela za ESCROW,EPPA,KIWIRA,MEREMETA,CHENCHI YA RADA
 
Kumhoji Mwigulu si kosa, kosa ni kumuacha atambe bila kubalance mahojiano
 
Wenzetu huko walipoondelea wakati wa kampeni baadhi ya TV huwa zinachagua upande kabisa, hii inasaidia mwananchi kujua kuwa akitaka habari zenye balance na ambazo haziko biased aangalie TV station ipi,
Rejea uchaguzi mkuu wa USA ,zipo TV zilikuwa zinasupport Democrat na nyingine Republican
 
Nishaacha mdaaa kuangalia tbc na star tv. Wote vibaraka wa ccm
 
Tanzania njaa sana,wafanyakazi wenyewe wanalazimishwa kuwa wana CCM maana Tv gani wanawaza CCM tuu na TCRA kimya kama hawaoni mkuu
Sisi ni mabadiliko tu hata media zote wachukue tumeamua

Mkuu Excellent.
 
Wapuuz tu
Hata hawajishtukiii c tunaakl tutachangua tunapopenda hta wafanyaje wao wafanye haki c tunaona....wakiendelea kutokutenda haki watasababsha tupigie ukawa
 
Ye ajiandae tu kutulipia kodi zetu
Mzee dihalo andaa karatasi zako vzur za TRA maana hakuna Mchezo hapa
 

Hili swala linaniudhi mno nashindwa kutambua sheria zinasemaje. Tumezoea nchi kama U S A vyombo vinatangaza tangia mwanzoni wanamuunga mkono nani kitu ambacho hapa kwetu hatujaona. Binafsi nashangaa hii ya Star tv na R F A jukumu la kampeni za ccm wamepewa na nani? Hata kama kunavyombo vingine vya habari vinafanya hayo virudi nyuma vijilekebishe. Mambo kama hayo yakifanywa na watu wengine tungesikia maonyo na adhabu. Hii ikemewe.
 
Fungueni nanyi vyombo vyenu vya habari....mbona magazeti mmeyanunua hatusemi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…