Star tv na mahojiano hovyo

Star tv na mahojiano hovyo

jellyFish

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
316
Reaction score
127
Nimekua nikufuatilia vipindi vya mahojiano ya Star Tv kuhusu Katiba mpya. Waandishi (wanaohoji) wanaonyesha wazi wapo katika mkakati wa kuinga mkono UKAWA maswali yao yote ni elekezi. Au ndio mkakati wa M/kiti mpya wa CDM kuiteka Star TV. Kwanza wanawaleta watu wenye kiwango cha chini sana cha uwezo wa uchambuzi na sanasana wanaonekana ni makada wa CDM. Mmoja alikua hata hajavua T-shirt yake ya mkutano mkuu wa CDM. Nyinyi watangazaji na mwandaaji wa vipindi hivyo mjue kazi zenu ziko chini ya kiwango. Tunataka kusikia hoja si msimamo wa kichama. Maswali yenu laini na ningemshauri CEO wenu amwajiri salama wa Mkasi ana uwezo mkubwa sana wa kuhoji.
 
Last edited by a moderator:

Kuna ukweli. Karibu theluthi ya wafanyakazi wote hapo SAHARA wa vyeo vya juu katika sehemu ya habari ni wanachama wa CHADEMA.
 
Haya uajiriwe wewe uje ufanye mahojiano!

Ina maana hujui kuwa wananchi karibu wote vuguvugu la mabadiliko limewakumba? Kwamba, hata hawa walioajiriwa na media za ccm wapo pale kwa sababu ya njaa tu???

jiongeze kidogo kijana!
 
Last edited by a moderator:
Nimekua nikufuatilia vipindi vya mahojiano ya Star Tv kuhusu Katiba mpya. Waandishi (wanaohoji) wanaonyesha wazi wapo katika mkakati wa kuinga mkono UKAWA maswali yao yote ni elekezi. Au ndio mkakati wa M/kiti mpya wa CDM kuiteka Star TV. Kwanza wanawaleta watu wenye kiwango cha chini sana cha uwezo wa uchambuzi na sanasana wanaonekana ni makada wa CDM. Mmoja alikua hata hajavua T-shirt yake ya mkutano mkuu wa CDM. Nyinyi watangazaji na mwandaaji wa vipindi hivyo mjue kazi zenu ziko chini ya kiwango. Tunataka kusikia hoja si msimamo wa kichama. Maswali yenu laini na ningemshauri CEO wenu amwajiri salama wa Mkasi ana uwezo mkubwa sana wa kuhoji.

Kiongozi nilidhani una hoja kumbe unamtafutia mtu kazi,,,,!!
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa critical lazima uonekane mwanachama au mnazi wa UKAWA ukiwa zuzu unaonekana mwana ccm,kwa mfano pale mh sitta anapoamua kuwapigia simu watu walio katika ibada eneo takatifu halafu awaulize kama wanakubali katiba,sasa sijui ataweka loud speaker? Tutajuaje kama mpokea simu ni yeye ama la? Na kwa nini umpigie simu mtu aliyeko msikitini anaswali?katiba imekuwa dharura as if nchi hii imetoka katika mapinduzi ya kijeshi inahitaji immediate rescue, kanuni inasema kura ipigwe ibara kwa ibara,sitta anasema ipigwe kwa sura,anawahi nini?aliyemwambia watanzania wana dharura kiasi hicho na hawawezi kulipia bunge la katiba hata miaka kumi ni nani? Kenya wametunga katiba kwa miaka saba,tanzania kwa kuwa spika ana gratuity ya milioni mia hamsini akimaliza kazi,analazimisha kazi iishe ili azipate, STAR TV IMEJAA WANAHABARI VIJANA,WAKIWEMO MABINTI AMBAO WANAFANYA INTERVIEW NZURI,ni jukumu la diallo kila mwaka kuwaletea mmoja kati ya waandishi mahiri africa kuwapa more practicals,otherwise nimempenda anavyowapika vijana
 
Vueni magamba
 
Attachments

  • 1411020867786.jpg
    1411020867786.jpg
    41.6 KB · Views: 286

Umeongea point na ukwel ulivyo,, sijaona tatzo kwa watangazaji ila nilichogundua ni kwamba chama tawala na wafuac wake hawatak kukubali kirahic kama this is new era
 
Hivi kuna mtu anajua kitu kinachoitwa REDIO UHURU? Yaani kuliko kuifungua kuisikiliza bora wale nzi wenye rangi ya ccm wakujalie mbele yako wakilia ziiiiiiiiiiiiiiiiiii STAR TV ASUBUHI ni kipindi ambacho kinaangaliwa sana kuliko vingine,wanafatiwa kwa mbaaaali na channel ten,
 
kiukweli STAR TV INABEBWA NA DSTV TU ILA KIVIPINDI NI HAKUNA CHA MAANA.

Kwa hiyo DSTV ndio wanaandaa vipindi vya star tv?au star tv wanarusha programu za DSTV? Utawalinganisha na ITV ambao muda wote wanarusha vipindi vya maigizo ya kichina?utawalinganisha na TBC ambao ni kama watu waliokula kokeni na viroba wanawaza kwenda ulaya na kujisahaulisha matatizo ya nchi
 
Mleta mada ushauri wako ni kama nguvu za giza. Wakati ule mwigulu analeta kashfa za ugaidi na mauaji kupitia star tv, ulibweka kama leo?
 
Star Tv ni moja ya Televisheni nzuri sana hasa katika vipindi vya mahojiano. Naweza sema ndio TV inayoongoza kwa kutazamwa na watu wengi hasa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa tatu asubuhi. Hawa wana vipindi vinavyoleta changamoto kwenye ubongo walau kwa hapa Tanzania. Chanel ten hawawezi, ukiwafuatilia vizuri utagundua kuwa wengi wa watangazaji wa Chanel ten hawana elimu nzuri sana. Wana unazi fulani hivi. Dialo aliweza kumwajiri mdogo wangu Patrobas KAtambi wakati anajua ni kada tangu SAUT wa Chadema. Hivi ITV au Chanel Ten ingeweza kweli? Tuache masihara, hapa Afrika Mashariki ukiacha Citizen TV ya Kenya yenye vipindi bora kabisa, basi Star Tv inafuatia kwa vipindi vizuri. Binafsi Citizen TV inaongoza kwa habari za kufikirisha ubongo ikifuatiwa na Star Tv. Wanachokosa Star Tv ni technolojia yao ya urushaji matangazo bado haiko vizuri sana hasa kwa wachanganya picha.
 
umetiririka vzr ila umeharibu ulipojaribu kulinganisha na tv za kenya. tv inayoongoza tz kule kenya labda itashika no. 5. wenzetu kenya wako ulimwengu tofauti na ss kwn media.
 
Kuna ukweli. Karibu theluthi ya wafanyakazi wote hapo SAHARA wa vyeo vya juu katika sehemu ya habari ni wanachama wa CHADEMA.

Nawashangaa sana kwa hicho mnachokiandika humu kumbuka mmilikiwa chombo hicho ni CCM(Dialo) na pia tukumbuke ni kituo hikihiki kilicho mtumia Mwigulu na Zitto kueneza Propaganda za ule mkanda feki wa Lwakatare na pia juzijuzi Mchange alitumia chombo hiki hiki kuleta porojo zake kuwa viongozi wa CDM ndio huwa wanapanga mauaji hapa nchini na hadi polisi kutamka kuwa watachukua hatua lakini wamefyata.
Hivi mnaweza kutuambia wakati chombo hiki kikieneza uzushi na uongo juu ya CHADEMA na viongozi wake mlitoa comment kulaani kwa kilichokuwa kikifanyika?
 
Siku hizi wanagonga pamba kali,vijana wanatiririka na suti, mabinti nao si haba,keep it up, ila huwa kuna zile makala kwa mfano za kilimo,biashara na mengine,nahisi huwa wanazikata sana, nafikiri muandaaji afatilie waandaaji wenzake kama wa kipindi cha kilimo ni biashara K24 na kipindi fulani cha TV kenya japo sikikumbuki,kina airtime ya kama saa moja, kama ni ufugaji samaki mjadala unaanza mwanzo mpaka mwisho ikiwamo ulishaji and every aspect, watumie smart4n kufanya research
 
Mleta hoja huna hoja ila una ushabiki! Nikupe kaknowledge kadogo tu kuhusu tasnia ya habari kuwa:- ni lazima kiwe kinabalance habari na taarifa zake kukwepa kuwa biased!. Na hii ni kuepusha jazba kwa wale wasiounga hoja au unaowapelekea hasira juu ya habari zako na pia kupunguza muku kwa waliopendezewa na taarifa yako.
Kiujumla startv wapo vema kwa bongo hasa huyo mchokonozi Dotto na Ivona wana maswali mazuri sana yenye kufikirisha. Waache watupe habari.
 
Back
Top Bottom