Star TV mtakumbukwa kwa uchochezi

Star TV mtakumbukwa kwa uchochezi

We Mtoa Ni Mpumbavu Ungeenda Ukamuuliza Lissu Eti Ile Kauli Uliyotoa Public Ilikua Special Itumike Kwa Wakina Nani??
Halafu Wewe Mpumbavu Kauli Za Nyerere Mnazotumia Kwenye Kampeni Mmemwomba Nani Kibali??
 
Litakuwa limekubadili wewe peke yako tu usiwasemee wengine ambao wapo busy na mabadiliko, Watanzania sasa wanataka mabadiliko hata waje na uzushi gani hawawezi kuzuia mabadiliko, wewe endelea kushabikia Dialo wakati yy kanunuliwa kwa pesa Haramu tena za marehemu Gadafi
Usiisemee nafsi ya mtu mwingine. sema mimi nataka mabadiliko. Tuko m. 48 na si wote wenye msimamo mmoja.
 
Nitabakia kuangalia ITV na Channel ten tu maana nimeshaona ujinga na upumbavu wa hizi channels zisizo na wahariri wenye weredi chanya.
 
Leo nimeona tangazo la ccm limerushwa star tv,huku sauti ya Mh.Tundu Lissu ikiwa katika tangaZo hilo.Jee ni sawa tangazo la ccm kutumia picha za lowasa au sauti ya Lissu bila ridhaa ya wahusika?
Huo ni uchokozi na uchochezi ulio wazi,swali kwani ccm hakuna watu wa kufanya matangazo hayo?
Kwa nini kampeni za ccm zimekua zinaiba au kuchukua attention toka upinzani kujitangaza?

Mkuu bado una muda wa kuangalia hawa mapunga
 
ikitokea star tv ikawa chazo cha uchochezi jambo la kufanya ni kuhakikisha kituo hicho .............
 
Hilo ndio tatizo la kunywa safari umix na nyagi.....kwani maneno yale sio yake? #hapa kazi tu#
 
Wewe nae una matatizo tena mengi tu kama umesikiliza vizuri ungehoji kwanini Tundu Lissu amesema hawakudanganya kuwa Lowassa ni fisadi na bado anasema ni fisadi Lowassa
 
Leo nimeona tangazo la ccm limerushwa star tv,huku sauti ya Mh.Tundu Lissu ikiwa katika tangaZo hilo.Jee ni sawa tangazo la ccm kutumia picha za lowasa au sauti ya Lissu bila ridhaa ya wahusika?
Huo ni uchokozi na uchochezi ulio wazi,swali kwani ccm hakuna watu wa kufanya matangazo hayo?
Kwa nini kampeni za ccm zimekua zinaiba au kuchukua attention toka upinzani kujitangaza?
tangazo hilo limelipwa pesa kwa hiyo ni vyema lisu akadai mgao wake.
 
Nyakati hizi hata vita ikitokea sinta shangaa vyombo vya habari vimetumika vibaya mno na shangaa viongozi wa dini wakisema tuombee taifa wakati wavunja amani wako mbele yao na wala hawa wakemei aibu kwa taifa

Mi nadhani kuna haja ya kutafakari upya hii dhana ya maombi ili tujue tunaombea nn. Haina maana kumuombea mt apone kichwa wkt anaumwa mguu. Ni madaktari wetu pale mhimbili tu ndo wanaweza kumpasua kichwa mgonjwa anayeumwa mguu.
Kabla ya kuombea AMANI inabidi kuombea HAKI itendeke.
PASIPO NA HAKI MARA ZOTE NDIPO AMANI HUTOWEKA. VIONGOZI WA DINI WAANZE KWANZA KUKEMEA UKIUKWAJI WA TARATIBU NA UMINYAJI WA DEMOKRASIA UNAOFANYWA NA CCM.
Popote penye vita hakuna ambapo upinzani ulianza kuleta fujo vita. Vita huletwa na vyama tawala pale vinapokataa kuachia madaraka.
TUOMBEE NA KUKEMEA KUHUSU UKIUKWAJI WA HAKI.
 
Ujue Mahaba ya Siasa kweli yanatufanya tuwe Mazuzu na Malofa. Uhuru wako usiingilie wa mwenzio so kama huipendi Star Tv kaa kimia waachie waipendao waangalie. Usilie silie hapa Kama Changudoa wa KWA SOKOTA pumba kabisa wewe!
 
Lazima Mpigwe Tu,hapa Kazi Tu.Hakuna Namna Nyingine Mtasoma Herufi Tu,CCM Hoyeeeeeeeeeee
 
Kwa kuwa anachofanya Diallo ni kuonesha chuki ya wazi dhidi ya Lowassa hawezi kufanya hivyo. Halafu mnadai eti ni msomi. Msomi of what category? This guy is behaving like someone who has never seen the inside of a classroom halafu anajiita msomi? Maawe!
usijal sana mwisho wao umefika
 
Back
Top Bottom