Star TV mtakumbukwa kwa uchochezi

Star TV mtakumbukwa kwa uchochezi

Kwa Wanachofanya. Star tv hata kama Lowassa hakuwa rais watafaidikaje mbele za umaa ????

Hawa mikutano ya Lowassa hawana. Habari nayo ndo

wanaenda kuonyesha mdahalo si watamaliza kabisa ??
 
Kwa kuwa anachofanya Diallo ni kuonesha chuki ya wazi dhidi ya Lowassa hawezi kufanya hivyo. Halafu mnadai eti ni msomi. Msomi of what category? This guy is behaving like someone who has never seen the inside of a classroom halafu anajiita msomi? Maawe!

Star tv wote wamenunuliwa na Membe kwa kutumia yale mabilioni ya marehemu Gadafi na huyo Dialo licha ya kununuliwa binafsi huwa ana chuki kubwa na Lowasa yaani Membe na Dialo ni maadui wakubwa wa Lowasa na ukawa kwa sasa hawataki kusikia ukawa wanaingia ikulu, Membe kwa kushirikiana na January na wapambe wao Gotham, Nape na Makonda wameleta waganga wa kienyeji 200 toka Senegal, Gambia, Amazon, Cambodia, Congo, Msumbiji na wazawa kuja kuwasaidia kamati yao ya Ufundi wamkwamishe Lowasa lakini mungu hapendi na anamlinda kwa nguvu zote ndiyo Maana Membe hapati usingizi kakonda kwa mawazo Maana anajua Ukawa wakiingia ikulu moja kwa moja Membe atapelekwa ICC kujibu tuhuma za wizi wa mali na pesa za Libya.
 
Tangazo hilo limebadili mawazo ya wengi sana. Kura zao sasa ni kwa jembe. Vyombo vya habari vina impact sana.
 
Tatzo mnajifungia ufaham, hv mnatuambia kila chombo kingekuwa kunazungumzia edo tuuuuuu, unadhan mngeshinda na hyo fisadi wenu??

Kimsingi staa tv wanafanya vyema maana wanatukumbusha viongoz wetu walivyo mazuzu,

Ndo maana walisema tupimwe akili leo wao ndo tuwapime akili..

Bigup staa tv keep on....
 
Kikwete, tcra na NEC, hawaoni huu kama uchochezi? Wako kimya wanamruhusu Diallo atumie kituo chake kuleta chuki. Lakini machafuko yakitokea kituo chake hakitapona

Dialo anamchukia sana Lowasa na sasa kaungana na Adui namba moja wa Lowasa yaani Membe ambaye kampa mgao wa mapesa ya Gadafi ili wamsaidie kumkwamisha Lowasa.
 
Tatzo mnajifungia ufaham, hv mnatuambia kila chombo kingekuwa kunazungumzia edo tuuuuuu, unadhan mngeshinda na hyo fisadi wenu??

Kimsingi staa tv wanafanya vyema maana wanatukumbusha viongoz wetu walivyo mazuzu,

Ndo maana walisema tupimwe akili leo wao ndo tuwapime akili..

Bigup staa tv keep on....

Pesa za escrow, pesa za mabehewa mabovu, pesa za kivuko feki, pesa za kulipa makandarasi hewa billion 251 , pesa mikataba ya gesi, na mapesa ya kuuza nyumba za Serikali yamekufanya upagawe na kujiona wewe sio fisadi? Hivi unadhani Watanzania ni wajinga hawajui ufisadi huo?
 
Nyakati hizi hata vita ikitokea sinta shangaa vyombo vya habari vimetumika vibaya mno na shangaa viongozi wa dini wakisema tuombee taifa wakati wavunja amani wako mbele yao na wala hawa wakemei aibu kwa taifa
 
Unajua diallo ni mwendawazimu anaijua kweli sharia muache ataona matokeo yake punguani kabisa alafu useme huyo ni msomi mimi sijawahi ona mpuuzi kama yeye alafu aitwe msomi kwa kipi na hata kama ni hivyo mimi nina master zaidi yake na nina tumia elimu yangu vizuri kwa jamii iliyonizunguka na nchi yangu kwa ujumla
 
Tangazo hilo limebadili mawazo ya wengi sana. Kura zao sasa ni kwa jembe. Vyombo vya habari vina impact sana.

Litakuwa limekubadili wewe peke yako tu usiwasemee wengine ambao wapo busy na mabadiliko, Watanzania sasa wanataka mabadiliko hata waje na uzushi gani hawawezi kuzuia mabadiliko, wewe endelea kushabikia Dialo wakati yy kanunuliwa kwa pesa Haramu tena za marehemu Gadafi
 
Unajua diallo ni mwendawazimu anaijua kweli sharia muache ataona matokeo yake punguani kabisa alafu useme huyo ni msomi mimi sijawahi ona mpuuzi kama yeye alafu aitwe msomi kwa kipi na hata kama ni hivyo mimi nina master zaidi yake na nina tumia elimu yangu vizuri kwa jamii iliyonizunguka na nchi yangu kwa ujumla

Dialo si msomi atakuwa alisoma kijanja kwa kuiba mitihani au kununua matokeo Maana Elimu yake sidhani kama ni ya kweli kichwani kutokana na kuwa na Upeo mdogo sana, huyo atakuwa ni wale wanaosona kwa kukariri au kununua matokeo na vyeti.
 
Dialo + Membe + January + mwigulu + Nape na mpambe wao Makonda ni watu wanaomchukia Lowasa hakuna mfano lakini kupitia hii chuki wamepiga pesa nyingi toka ccm na kwa Membe mwenyewe kwa kisingizio cha kwenda kuzitumia kumdhoofisha Lowasa na ukawa lakini wanaishia kuzitafuna wenyewe na kufanyia kampeni majimboni mwao, mpaka kufika 25 October nina imani January na mwigulu watakuwa wamepiga pesa ndefu kuliko wengine kutokana na wao kuwazidi ujanja wenzao ndiyo Maana waliweza kupiga billion 1.7 kirahisi pasipo kujulikana sasa wanajipanga kupiga zaidi,
 
Hivi Bado Unaangalia Star Tv?! Diallo Anampigia Kampeni Chokonozi Makufuli Kumchafua El Ili Aje Kurudishiwa Wizara Aliyokuwa Zamani Ya Maliasili Enzi Za Yule Anaetuita Wapumbavu Na Malofa.
 
Yaaani hili li Tv silipendi kabisa huwa naangalia dira ya dunia nasepa.
 
Mie nina Muda siangalii hiyo Muda mrefu na sizani kama nitapata mvuto tena
 
Nyie leteni mahaba tu kwenye jambo la kuamua kwa akili mnatumia Moyo mnaropoka kama hamma kesho vile mnajadili mambo mazito kwa mapenzi ya moyo star tv walisha toa tamko kwamba matangazo ya ccm ni biashara kama yalivyo matangazo ya Togo voda nk na malanyingi tumeona katika tuongee asubuhi watu was ukawa wakiitwa kujadili muenendo wa Taifa Leo mnathubutu kutamka mane no mazito nahisi mnafikiri kwa viungo vingine so akili
 
Back
Top Bottom