BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,911
Leo nimeona tangazo la ccm limerushwa star tv,huku sauti ya Mh.Tundu Lissu ikiwa katika tangaZo hilo.Jee ni sawa tangazo la ccm kutumia picha za lowasa au sauti ya Lissu bila ridhaa ya wahusika?
Huo ni uchokozi na uchochezi ulio wazi,swali kwani ccm hakuna watu wa kufanya matangazo hayo?
Kwa nini kampeni za ccm zimekua zinaiba au kuchukua attention toka upinzani kujitangaza?
Huo ni uchokozi na uchochezi ulio wazi,swali kwani ccm hakuna watu wa kufanya matangazo hayo?
Kwa nini kampeni za ccm zimekua zinaiba au kuchukua attention toka upinzani kujitangaza?