Mlianzisha tamthilia ya kifilipino "I will never say goodbye" na SASA MMEIKATISHA bila taarifa kwa watazamaji. Huu ni utovu wa nidhamu kwenye tasnia na wala sio weledi.
Sio mara yenu ya kwanza kufanya madudu ya aina hii. Tamthilia nyingi mlizikatisha kwa mtindo huu. Ni aibu sana kwenu.
Natamani ITV ndio waonyeshe hizo tamthilia za kifilipino ninyi mbaki na za kwenu Mwanza.
Shame on you Star TV