Ngoja nikupe orodha ya vipindi bomba kabisa nilivyoviona wiki hii;
1. HAMZA KASSONGO HOUR, Chanel 10.- kuhusu mauaji ya mwangosi.
2. KIPIMA JOTO, ITV-Kukithiri kwa mauaji katika mikutano ya vyama vya siasa, je ni kukua kwa demokrasia?
3. JICHO LETU NDANI YA HABARI, Star TV(J'mosi tar 8/9/2012).
Hakyanani hivi kwangu ndo vipindi vya kupewa tuzo, wachangiaji walikuwa active na wenye ueledi wa wanachokizungumza. Ila jamaa mmoja anaitwa Mosses Mathew Star TV aliharibu sana, huyu jamaa sijui ana matatizo gani. niliwahi kumuona pia kipndi Star TV walipokuwa wanaongolea ishu ya kufungiwa Mwanahalisi, kwenye kipindi hichohicho, huyu jamaa kwa kweli anatia hasira. Nadhani ana udugu na kina Kamuhanda, Chagonja, Mwema, Ramadhani Ighondu au Jack Zoka. Huyu jamaa ana roho ngumu ile mbaya, na inavyoonekana huyu jamaa uzeeni atakuwa mchawi.