Tema Mate
Senior Member
- Dec 19, 2013
- 107
- 193
Hii leo Nibu Katibu Mkuu CCM BARA na Naibu waziri wa Fedha ambayea siku karibuni amebatizwa jina la SOKOINE Wa PILI atakuwa na Mkutamo wa hadhara Mkoani geita utakao Rushwa LIVE na Star tv kuanzia saa 8 mchana hii leo.
Mwigulu anakwenda kuzungumza na Watanzania kuhusu Mambo makubwa ambayo TAIFA letu linapitia,Utekelezaji wa Bajeti ya serikali na namna Mapapa wanavyopambana kukwamisha Mswada wa Kufuta Misamaha ya Kodi isiyo na tija kwa Taifa letu.
Mwigulu Nchemba anakwenda kuuelezea Umma kuhusu malengo na dhamira yake ya kusaidia wanyonge na Masiki,Vijana wasio na ajira na sakata la Matumizi mabaya ya fedha za Umma.
RUKSA kushare na Kuwatangazia jamaa na Watanzania wapenda Maendeleo.
Ni leo hii tar 06/12/2014 saa 8 kuelekea saa 9 Mchana kupitia Sta tv.