Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,544
- 139,864
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa...Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho...Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowasa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa...Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho...Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowasa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa...Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho...Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowasa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa...Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho...Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowasa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi
Dada una hasira na matusi kama kawaida ya ccm. Mnadhani mnahati miliki ya hii nchi ndo mana mna viburi vyaWewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.
Shetani wewe unayeshsbikia shetani linalotaka kwenda ikulu kwa kumaliza wapinzani wake,mungu atalisaidia taifa lake,Hahaha wewe na mbwa wako mnaakili sawa mkuu! Hongera mr mbwaa!
Umepaniki kuambiwa ukweli?Umesahau kama mmepata msiba wa Mtikila na Celina Kombani?Kumbuka wote hawa walikuwa ni miongoni mwa wanaomwombea Lowasa Afe...sasa wewe maadamu unamwombea afungwe jiangalie usije ukafungwa wewe kabla ya Lowasa....Mungu hadhihakiwi. Hapa nilipo Magufuli hakubaliki hata na choo cha kilabu za pombe za kienyejiWewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.
Mimi nakushauri utafute ushauri au matibabu ya maginjwa ya akili. Nimeona komenti zako nyingi unazingumzia hili jambo huku umepanic na kuliamini kabisa. Ila pole sana next time tu kuweni na heshima na mjie mungu hadhihakiwiMpumbavu wewe tena shetani mkubwa kitu linawamaliza wapinzani wake kwa nguvu za freemason wewe anasema nini? Njinga kabisa,