Labda mtangazaji mwenyewe anasimama kama mtu mwenye mtazamo tofauti na ule wa huyo kada!... Kwanini leo hakuna mshiriki mwenye mtazamo tofauti ili kukianya kipindi kiwe na upeo.
Kwa hoja yako ni presenter wa leo au kukosekana kwa Yahaya Mohammed studioni????
Hebu kuwa specific????
mi ndo leo nmemskiliza.... Jamaa ni hopeless.....na kidhungu chake cha kuombea maji bas ndo anazid kunichefua......in short li limbukeni tuHuyo kada namfahamu wakati nipo mwanza, anaitwa Kaaya na alikuwa ni bwana mifugo kule Magu vijijini. Hizi siasa amekuja kuzirukia tu majuzi hakuna lolote analolijua. Huyu jamaa aliwahi kusema kuwa haoni sababu ya kujenga nyumba kwani wanawake hawawezi kujua kama ni tajiri kwa kuwa hatembei nayo, ila akiwa na gari inakupa Starters mjini. Wakati huo alikuwa amenunua 504 used.
Mimi nimekuwa shabiki wa muda mrefu wa vipindi vya StarTv, hasa vipindi vya jumamosi na Jumapili asubuhi vikiongozwa na YAHAYA na DOTTO Bulendu. Wamekuwa wakiendesha vipindi vyao kwa kiwango cha kuridhisha.
Kama kawaida leo nimeamka mapema ili niangalie mjadala lakini huu wa leo unaboa ilembaya. Mwendeshakipindi amemwalika kada wa ccm ambaye amepewa kipindi ili kukinadi chama badala ya kuweka mjadala mpana. Kwanini leo hakuna mshiriki mwenye mtazamo tofauti ili kukianya kipindi kiwe na upeo.
StarTv jipangeni

mi nilikuwa nacheza pool table wakati wanamwaga pumba zao.
hehehehehe kipindi chao cha magazeti leo kimegoma kupanda hewani!..... Na wameshndwa kujiunga na waandishi wao Dodoma!...kipnd kimepoteza mvuto sanaJiiiinga sn hawa jamaaa................Mimi huwa nawaangalia kwa kile kipindi cha kukosoa vyombo vingine vya habari hasa heading za magazeti mbalimbali...... lakini wao wenyewe wanatatizo la matangazo ya kipindi cha Watanzania tuzungumze magazeti.... kila asubuhi....... kipindi hakina uhakika kinaanza saa ngapi, na matangazo yao yanakatikakatika wao yao hawayasemi .... si unajua nyani haoni kundule.......
mi ndo leo nmemskiliza.... Jamaa ni hopeless.....na kidhungu chake cha kuombea maji bas ndo anazid kunichefua......in short li limbukeni tu