Hiki Kituo Nani Alikifungulia Kilipokwepa Kodi
Hebu nisaidie.adui wa TLS ni nani? Je unaweza kuniambia kw nn imma advct imevamiwa?? Kw unavyodhani wewe nani mvamizi wa TLS??!! Je adui wa imma advct ndio adui wa TLS,?lissu alitangaza mgomo ili kumlenga nani?? Mahakama?? Serikali?? Au wale waliovamia imma advct??NISAIDIE WEWE ULIEMWELEWA LISSU?Tundu lisu asungeweza kuongea kwa kuropoka tu lile si tamko binafsi na nafikiri umesikia sababu walizotoa mawakili ambao hawakugoma. Mbona huelewi vitu vyepesi sana
Lisu hakutangaza mgomo kama Lisu bali maamuzi ya TLSKwani jerry muro ana kosa gn kuitwa star tv?!! Hv msimamo wa lissu ndio msimamo wa TLS??!! lissu ametangaza mgoma.je mawakili mbona hawajagoma??!! Nalo ni kosa la jerry muro?!! Imevamiwa ofisi ya imma advocate,hakuna wakili alievamiwa akitimiza majukumu yake,lissu asichanganye siasa ma taaluma.uwakili ni taaluma na usomi.siasa ni kujua kusoma na kuandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki Kituo Nani Alikifungulia Kilipokwepa Kodi
Kwa mini mkuu hawawezi kukaa pamoja ilihali taaluma zao ni tofauti ?
Kwani jerry muro ana kosa gn kuitwa star tv?!! Hv msimamo wa lissu ndio msimamo wa TLS??!! lissu ametangaza mgoma.je mawakili mbona hawajagoma??!! Nalo ni kosa la jerry muro?!! Imevamiwa ofisi ya imma advocate,hakuna wakili alievamiwa akitimiza majukumu yake,lissu asichanganye siasa ma taaluma.uwakili ni taaluma na usomi.siasa ni kujua kusoma na kuandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka unadhani upinzani ukianzisha media zao utakosa figisu figisu kutoka mhimili uliojichimbia chini zaidi? Au unadhani watapewa leseni kweli ikiwa juzi tu hapa idara ya habari maelezo imevitaka vyombo hivyo kujisajili upya, unadhani agizo hilo linatafuta nini nyuma ya pazia? Na vyombo vingi vya habari hapa Afrika vinategemea kwa kiasi kikubwa sana kujiendesha kupitia matangazo ya biashara, na hasa kutoka serikalini, mpaka hapo nadhani jibu unalo itakuwaje huo mustakabali wa media za upinzani. Sio kwamba napinga hoja yako, najaribu kuwaza tu kwa kina zaidi...Hahahaha yaani unacheka kama mazuri lkn tangu mwanzo tulisha shauri kuwa upinzani lazima ujitahidi kuwa na vyombo vyao vya habari na kati ya hivyo TV na REDIO ni vyombo vya muhimu sana kwa huwa vinaaminika sana kwa watu wasiotumia nguvu ya kuhoji jambo kupata ukweli.
Utasikia mtu anasema " Hata redio imetangaza" au "nimeona kwenye TV"
Upinzani amkeni, jichangeni na mtapata kwani hivi ni vyombo muhimu sana vya propaganda
Murro ni kati ya makanjanjaHabari!
Naona watangazaji wa star tv na Jerry Muro wote wanaungana kumjadili Lissu personal lakini hawaendi kuzungumzia TLS kama chama ila wanaungana kumjadili Lissu kama Mbunge na mwanachadema
Walishalipa acha majungu!!!Hiki Kituo Nani Alikifungulia Kilipokwepa Kodi
Ndiyo maana ukaitwa KASHINJE!!!!!!!Kwani jerry muro ana kosa gn kuitwa star tv?!! Hv msimamo wa lissu ndio msimamo wa TLS??!! lissu ametangaza mgoma.je mawakili mbona hawajagoma??!! Nalo ni kosa la jerry muro?!! Imevamiwa ofisi ya imma advocate,hakuna wakili alievamiwa akitimiza majukumu yake,lissu asichanganye siasa ma taaluma.uwakili ni taaluma na usomi.siasa ni kujua kusoma na kuandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo channel ni ya mwana ccm kwahiyo usitegemee ku balance habari pia usitegemee wamwite mtu mwenye itikadi tofauti na ccmNdg wanajamvi za asubuhi, kuna kitu nimejifunza kitu kipitia hii chanel ,kwakweli hiki kituo kisifanye watanzania mazuzu, naomba huyu jamaa wamwite Lissu pamoja na huyu kilaza Murro. Then waanze mahojiano ili kubalance hii taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Murro hadi leo anaota kupata uteuzi kutoka ikuluJerry kweli suzu anakomaa Na lissu anashindwa kutofautisha kati ya mtu Na taasisi. Anaambiwa ataje vifungu anasema eti vifungu haviwasaidii watu wa machame. Anatafuta kiki Za 2020