Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,196
- 11,623
Kipindi ni jicho letula habari hoja Dr. Slaa alikuwa sahihi kusema Dr. Slaa kusema waandishi wa habari si watafiti hawana uweledi.
Mwana JF Paschal Mayalla ndani ya mada.
Dr.slaa alisema Lowassa hakujaza fomu za maadali katika tume ya maadili.
Dr. slaa anadocument muhimu sana za richmond ambazo inapaswa kuwanazo baraza la mawaziri hili libaashiria nini?