Star tv, itv Kwenye android

T999ZZZ

Senior Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
107
Reaction score
33
wakuu hivi hakuna app yoyote ya android inayorusha matangazo ya TVs za kibongo, maana wakati mwingine wengine tunakuwa mbali na tv ukizingatia tena mambo ya vingamuzi basi shida tu. wanaojua tuwekeeni jamani.
 
ni tbc kwa vodacom.

Ukiwa na line yako ya voda nenda m.vodacom.co.tz
 
ni tbc kwa vodacom.

Ukiwa na line yako ya voda nenda m.vodacom.co.tz

nimejaribu kwenda m.vodacom.co.tz nimeselect tbc nimepata ujumbe huu, Sorry, the page you are trying to access is
not available to your country.
 
nimejaribu kwenda m.vodacom.co.tz nimeselect tbc nimepata ujumbe huu, Sorry, the page you are trying to access is
not available to your country.

hapo itakua unatumia browser yenye proxy thats why unaambiwa kama hupo tz, usitumie opera, wala ucweb wala 3rd part browser yoyote tumia borwser yenyewe ya android
 
mimi natumia pc napata startv pekee je yawezekana kuipata hiyo tbc 1 au Itv?

its possible japo sijajaribu mkuu, maana hapo unachotakiwa ni kuidanganya system ya dstv ya voda kua wewe unatumia simu badala ya pc.

Nakumbuka kuna addons ya mozilla inafanya hivyo siikumbuki jina ila nahisi imebase kwenye imacros jaribu kugoogle change browser ui iwe kama ya simu ingia website ya voda ujaribu ku access zile tv
 
kuna ki-application kinaitwa TANZANIA NEWS RADIO AND VIDEO,kipo mkao sana kwa wapenda habari,na kingine kitakupa fursa kuona habar za itv in video form,capital tv too -news in video form,nevertheless kuna magazeti,ni bomba try it on ur own to check it
 

weka link kamanda.
 
ok kama una simu ambayo inatumia android system like samsung galax nanyingine nyingi,sasa nenda kwenye market store amboyo inakuja na simu then search hapo utaipata,au kama hiyo imekuwa ngumu nenda kweny opera then opera store then tafuta hapo kamanda wangu
 
hapo itakua unatumia browser yenye proxy thats why unaambiwa kama hupo tz, usitumie opera, wala ucweb wala 3rd part browser yoyote tumia borwser yenyewe ya android


mkuu chief nimejaribu kutumia brouser ya simu inakuwa nzito saana, nifanye nn iwe nyepesi kufunguka, si dstv tu hata websitr zingine.
 
mkuu chief nimejaribu kutumia brouser ya simu inakuwa nzito saana, nifanye nn iwe nyepesi kufunguka, si dstv tu hata websitr zingine.

mkuu browser ya simu haina proxy za kucompress data kama opera unakuta inafungua page original. Page 1 inaweza fika kb 500 hadi mb1 so unahitaji internet ya haraka ya 3g. Je unatumia 3g?
 
mkuu browser ya simu haina proxy za kucompress data kama opera unakuta inafungua page original. Page 1 inaweza fika kb 500 hadi mb1 so unahitaji internet ya haraka ya 3g. Je unatumia 3g?

yap mkuu napata 3g ya voda, inakasi nzuri tu kwenye brouser zingine, tena inastream swafi kabisa kama nimeweka cd kwa deki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…