HAKUNA KISICHOWEZEKANA watu wanaendelea kukamuaIredeto 2 ya DSTV haijawahi kuwa hacked so sahau kabisa kama unatafuta kuchakachua DSTV, card sharing ina matatizo mengi sana, kwanza key zinaweza kubadilika kila baada ya sekunde kadhaa meaning inabidi upate key mpya, kuna decoder zinaweza kuvuta keys kutoka net kama kuna mtu anashare keys zake ila tatizo jamaa anayeshare anajiweka hadharani so kukamatwa rahisi.
Pia kampuni nyingi hazitransmit unencrypted keys, key inabidi iwe decrypted ndani ya decoder na ni decoder official tu zinazoweza ku decrypt hiyo key someni Wiki ya Iredeto na cardsharing mtaona muziki wake.
HAKUNA KISICHOWEZEKANA watu wanaendelea kukamua
Narudia Iredeto 2 haijawahi kuwa hacked!! Asikudanganye mtu yoyote!! Maybe hakuna kisichowezekana, lakini hadi hivi sasa hakijawezekana.
Huu ni utoto sasa, kwa nini ukusubili hizo siku tatu ndio uje kamili?
mkuu , mbona haujatoa contact zozote , au mwaga mambo hadharani hapa tufaidi wotehana lolote huyu mtanambia! kama mtu anataka kutumia supersport free tuongee nina device ambayo unaweza kutumia supersport zote free na haina kikomo ni kifaa ambacho kimedizainiwa kwa ajili ya kuichakachua supersport na hao supersport wamechemsha kusolve hili tatizo karibia zanzibar yote wanatumia hii device

Narudia Iredeto 2 haijawahi kuwa hacked!! Asikudanganye mtu yoyote!! Maybe hakuna kisichowezekana, lakini hadi hivi sasa hakijawezekana.

kaka ucseme hivyo sema we hujui.Ingia nairaland forum uone wa2ndu.wana2mia decoder 2 na nyungo 2 bila internet conection.
Narudia Iredeto 2 haijawahi kuwa hacked!! Asikudanganye mtu yoyote!! Maybe hakuna kisichowezekana, lakini hadi hivi sasa hakijawezekana.
nilijua tu hii kitu itatokea ngoja nipange foleni