Star times na dstv...........

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
wadau hivi kuwa wakala wa Star times na DSTV nn vnatakiwa au uwe na mtaji wa shngp? na je faida zake ni zipi? je maombi ya uwakala unayatuma wapi?
 
Ukibahatika kuwa wakala wa star times napmba nikupe kigamuzi changu cha star times ukiuze. Kila siku wanapandisha bei wali anza na elfu tisa ikajaa uhuru package 18000/= na sasa kilmanjaro package ama kweli mchina atatumaliza na huduma zake mbovu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuwa na king'amuzi chas star times ni kujitakia presha tu. Mimi ninacho lakini ukitaka nitakupa bure ili uwagawie wengine
 
Nenda office zao Fanya utafti acha kuwa mzito Wa kufikiri wewe.

wadau hivi kuwa wakala wa Star times na DSTV nn vnatakiwa au uwe na mtaji wa shngp? na je faida zake ni zipi? je maombi ya uwakala unayatuma wapi?
 
Mbona rafiki yangu aliniambia Star Times bomba, yeye alikuwa hajalipia muda mrefu lakini inaonesha tu...bado kidogo nishushe dish la DSTV chini.
 
Nenda office zao Fanya utafti acha kuwa mzito Wa kufikiri wewe.
nakuomba ww ushauri ili kurahisisha..ili nikienda pale niwe nimejipanga....na nhc haujui kama mm npo kijijini so inahitaji niandae nauli.........upo hapo?
 
Back
Top Bottom