Star Times awarded sub-Saharan media rights - UEFA CL RIGHTS

Haya wale waliokua wanaishobokea na kuipa promo *ting* wako wapi..star times ipo juu.
 
siku wakianza kuonesha premier league ndio nitajiunga nao.
<br />
<br />
mbona premier league wanaoneshaga kupitia channel sibuka..champions league pia walikua waonesha kupitia kbc1 na sibuka.
 
hao star time nao waongeze channel coz zipo chache sana ndio maana watu wengi hawajajiunga.
 
Haya wale waliokua wanaishobokea na kuipa promo *ting* wako wapi..star times ipo juu.
Mkuu soma vizuri ni kwa mwaka 2012 - 15 .... mwaka huu ni mwaka gani? 2011... TING wanayo rights ya 2011... Just saying!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom