King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,515
- 94,139
Mkubwa kwa kukushauri anza kuomba nafasi za sales uwe ofisa mikopo na akaunti then chukua uzoefu,kazi za sales(freelancer) huwa ni raisi kupata,ukiwa katika mazingira hayo ndio unaweza ku-apply bank teller officer itakuwa rahisi kupata ila kutoka kitaa kukuchukua si rahisi kama hauna wa kukushika mkono.